Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, April 30, 2017

TAMMY THE BADDEST!!!MWAMVITA MAKAMBA & CO!!!

 MALAIKA
 Mother and Daughter
NOEL,MWAMVITA AND RIO.,


SPORAH AND MWAMVITA.,


DRESSED BY LINDA BEZUIDENHOUT!!!
MILLEN MAGESE!!!


FLAVIANA MATATA!!! AT COACHELLA,THE MUSIC FESTIVAL IN PALM SPRINGS

Yaliyojiri!!!

 Joyce Joyce Joyce acha nikuache kwa Leo.,


Sometimes huwa mnamchokoza halafu akiwajibu kuwa nyie ni maboya mnapanic.,
Why care jamani khaa..,na hata kama ingekuwa kaazimwa so...
utafkiri half of you hamuazimani nguo lol.,
Kuna vitu havina hata maana kuvitilia maanani.

Glad Valborg!!!


Sehemu nyingi Leo nchini Sweden watachoma moto kama mnavyoona juu kwenye picha na hii ni tradition ambayo hufanyika kila mwaka tarehe 30 april.
Sikukuu hii inaitwa Valborg na ni ishara ya kuiaga Winter na kuikaribisha Summer.
Hapo juu mmeona wanafunzi waliovaa kofia nyeupe hao ni baadhi tu Bali all The students nchi nzima watakaograduate june-august Leo ndio siku rasmi ya wao
Kuvaa hizo kofia mimi bado yangu ninayo kwani kila shule mnaruhusiwa kusidesign mnavyopenda but lazima maziwe nyeupe.
Ukishavaa hiyo The unajua kabisa that you are graduating ndiomaana Leo wamefurahi sana.
Wao Leo wataanza ha Champagne breakfast na kusherehekea mpaka usiku that is The tradition.
Wenye familia na wengine watajumuika kwa pamoja na kwenda kuhudhuria different activities na badae kwenda kutizama wakati moto ukichomwa kwa pmoja.

HONGERA ZENU KWA MR AND MRS MLINGWA BETTER KNOWN AS MXCARTER!!!

Kwa msiomfahamu Michael ni kijana mdogo but mchapa kazi sana.
Michael kashawafanyia kazi wasanii wengi tu but also ni kijana nyuma ya show kama Mkasi,Jikoni na Mariam na vingine vingi.
Kashawafanyia pia kazi makampuni na watu baki kwani yuko vizuri sana kwenye kazi yake.
Kila la kheri Michael na mama mototo wako,Love You!

COLOUR VS BLACK AND WHITE!!!