Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, April 29, 2011

I AM GLAD TO SAY THAT TUMEMALIZA MAZISHI SALAMA NA KILA KITU KILIENDA VIZURI.,NINGEPENDA KUWASHKURU WOTE WALIOTOA MCHANGO WAO NA SITAWASAHAU DAIMA!!

Tuesday, April 19, 2011

MCHANGO WA MAREHEMU ADOLPH RICHARD MAGOKE!!GONE TOO SOON!NURU THE LIGHT NA MDOGO WANGU ADOLPH..,


KWAKWELI HIKI KIFO KIMENIUMA SANA NA MPAKA SASA WADAU SIAMINI KAMA HAYUPO MPAKA NIONE MAITI MAANA IKO SAFARINI KUFIKA PALE ATAKAPOLAZWA NA KUPUMZIKA MILELE NA MILELE EEH MUNGU ADOLPH I WISH NINGEKUWA NAWE DAKIKA ZAKO ZA MWISHO .,

KWA WANAOTAKA KUTOA MCHANGO MNAWEZA WEKA MCHANGO WENU KWENYE ACCOUNT NR 5201-0119517


SE-BANKEN


NURU MAGRAM..,


NASHKURU SANA KWA WALE AMABAO MMESHAWASILIANA NA MIMI NA KUNIA MCHANGO WENU..,MBARIKIWE


nNA KWA WALE WALIOPO TANZANIA MNAWEZA ACHA MCHANGO WENU DUKANI KWA SARAH SUMMERTRENDS NAMANGA KARIBU NA BEAUREAU DE CHANGE..,AHSANTENI WOTE MLONIANDIKIA NA KUNIPIGIA SIMU KWA MANENO YENU NA MCHANGO WENU NASHUKURU SANA.,


ITS THAT TIME AGAIN WHERE I PRESENT BEAUTIFUL WOMEN COMING OUT OF THE LAND OF KILIMANJARO STARTING WITH NITA KINJE!!

DEVOTA DIVA!!

SPORAH NJAU!!
PURPLE FEVER!!

FIDERINE IRANGA.., PHOTO CREDITS;8020FASHIONS

NEW FACES FOR CAROL DAUGHTERS PRODUCTS!!

SOLANGE,CASSIE AND SELITA..,

THE BRAXTONS!!

MEET JANET JACKSONS NEW MAN WISSAM AL-MANA!!

GORGEOUS HAIRCUTS!!

EVA..,
MICHELLE..,

Sunday, April 17, 2011

LEO NINA PIGO KUBWA SANA MOYONI MAANA COUSIN WANGU ADOLPH AMEFARIKI DUNIA ASUBUHI HII YA LEO,REST IN PEACE MY LOVE!!
ME AND ADOLPH WAS VERY CLOSE AND THAT IS WHY AM SO SAD AND LOST WITH WORDS OF HOW TO EXPRESS MY LOST.HE WAS MY FRIEND,COUSIN,MY PARTNER IN CRIME,MY FAN,MY BROTHER AND SO MUCH MORE.AM SO SAD BECAUSE WE LOST HIM SO YOUNG BUT I GUESS GOD HAS A BIGGER REASON TO WHY HE TOOK HIM FROM US.

IF I AM FEELING THIS MUCH PAIN YOU COULD ONLY IMAGINE HOW MY AUNT IS FEELING RIGHT NOW.JAMANI NNA UCHUNGU NA HUZUNI MOYONI NA SIWEZI SEMA YOTE ILA MUNGU AKULAZE PEMA MDOGO WANGU..,NAKUPENDA SANA NA I WILL MISS U MNOOOOOOOOO.., KILA NIKITIZAMA HII PICHA YA MWISHO WERE HE SHOWS THE PIECE SIGN NNALIA SANA ITS LIKE HE IS SAYING GOODBYE EHH MUNGU!!MLAZE PEMA MDOGO WANGU.,.,