Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, February 29, 2016

HI FANSIIIIIIIIIIII I LOVE YOU IS MY FANSIIIIIIIIIIIII!!!!AS I WAS DOING MY ROUNDS SINCE IT!S BEEN A WHILE I HAD NOT BEEN INTOWN I SAID TO MYSELF LET ME HAVE SOME ME TIME,,
AS I WAS WONDERING THROUGH MANGO ON THE SALE SECTION I HEAR A VOICE ASKING ARE YOU NURU THE LIGH AND I TURNED AND ANSWERED YES SO AS AM BEING SHOWERING WITH LOVE FROM THESE TWO WOMEN AND WE HUGGED AND CHAT A BIT AND THEY EVEN ASKED ABOUT HOW MY UNCLE IS DOING AND HOW MUCH THEY LOVE THE BLOG AND ALL WE ALL MOVED ON WITH OUR BUSINESSES,,

LATER ON THE SAME DAY THERE WAS A MAN AGAIN WHO ASKED AND SAID HI AND THEN SAID OHH MUSICIAN NURU THE LIGHT,,HAHAHHAAH


NAPENDA WATU WANAONIONA MJINI AMBAO SIWAJUI WAKINIFUATA DIRECT NA KUNIAMBIA TUNAPENDA NA KU APPRECIATE KAZI ZAKO ZA MZIKI AU BLOG YAKO TENA HUWA NAFURAHI NA KUONGEA NAO VIZURI TUU,,

SIPENDI WATU WANAOKUPITA HALAFU UNAWAONA KABISA WANAKUKODOLEA MACHO BUT THEY DON!T SAY SHIT,,
SIO LAZIMA UNIONGELESHE BUT HAVE THE DECENCY KUBEHAVE NORMAL AND I WILL LEAVE YOU TO IT,,
AU KUNA WALE AMBAO WANAKUJUA KABISA WEWE HALAFU WANAJIFANYA OHH BLA BLA BLA AU BLI BLI BLI,,COME ON SISI WOTE NI WATU WAZIMA!!
KWANI UKINIAMBIA UNANIKUBALI UTAPUNGUKIWA NINI,,,LORD HAVE MERCY!!

NILIONDOKA NACHEKA SIKU NZIMA MAANA WALE WADADA WAWILI WALIONDOKA HUKU WAKINIAMBIA AISEE NURU UNAKUNYWA MAJI MENGIII HAHAHAHAAH YOU MADE MY DAY GIRLS,,
IT WAS NICE MEETING YOU CAUSE YOU WERE SO SO LOVELY,,MBARIKIWE!!!


SANDRA!S BABY SHOWER!!!


MY UNCLE SAM,I HOPE ONE DAY YOU WILL WAKE UP AND SIT AND MAKE ALL THIS POSES ONCE AGAIN INSHALLAH!!!
MUIGIZAJI WA FILAMU RAYUU AFUNGA NDOA NA AHMED SAID!!


SAADA!!!

CURRENT SITUATION#MRNICE!!!


MILLEN MAGESE!!!

IT HAPPENS!!!Sunday, February 28, 2016

NEW WEEK,NEW CHALLENGES#HEMFÖRSÄKRING#BIMA!!!
SO LEO NAOMBA KUONGELEA KITU MUHIMU SANA,,
SINCE MY UNCLE AMEKUWA AKIUMWA IT MADE ME THINK MAANA NIMEJIFUNZA MENGI ZAIDI YA YALE NILOKUWA NAJUA KUHUSU VITU AMBAVYO NADHAN MNAHITAJI KUVIJUA ESPECIALLY KWA WALIO NJE NA NDANI YA TANZANIA,,

KWANZA KABISA KUWA NA BIMA
KUWA NA BIMA NI KITU MUHIMU SANA SIJUI TANZANIA WAKO VIPI KUHUSU BIMA YA MFANYAKAZI NA MTU PRIVATE KAMA YEYE,,

FOR EXAMPLE NINGEOMBA NIWASIHI WATANZANIA NA WATU WOTE KUWA NA KITU KINAITWA HEMFÖRSÄKRING MEANING HOME INSURANCE
NAKUOMBA KAMA HUNA KESHO ITAFUTE KUNA KAMPUNI TOFAUTI KAMA LÄNSFÖRSÄKRINGAR,FOLKSAM,SKANDIA NA WENGINE WENGI
TAFUTA INSURANCE COMPANY HERE IN SWEDEN HALAFU SIGN NAO HEMFÖRSÄKRING,,
KAMA UMEAJIRIWA ULIZA KAZINI MNA ISNURANCE GANI,,
UKIWA PIA UMEAJIRIWA UNAKUWA UKO NA A UNION (FACKET)NA KATIKA UNION LAZIMA PIA KUNAKUWA NA INSURANCE TOFAUTI AMABZO UNAZO ULIZA MASWALI ILI UJUE KESHO AU KESHOKUTWA,,

FOR EXAMPLE UNCLE WETU ALIPOPATA STROKE ALIKUWA NJE YA SWEDEN SIMPLE THING KAMA INSURANCE NDIO IMEFANYA TEAM YA MADAKTARI ITOKE HAPA NA KWENDA KUMCHUKUA KWA NDEGE OTHERWISE ANGELIPA ONE MILLION SWEDISH KRONOR ILI AWEZE KUJA NA KUPATA MATIBABU,,
KWA MNAOISHI SWEDEN WAPIGIENI FÖRSÄKRINGSKASSAN KUNA KADI YA KIJANI UNATAKIWA KUWA NAYO WEWE NA FAMILIA YAKO SO LETS SAY UMEPATA AJALI TANZANIA AU SEHEMU YOYOTE ILE ULIMWENGUNI ILE KADI ITAKUSAIDIA KUPATA MATIBABU NA PIA KUWEZA KUSAIDIWA NA THE SWEDISH GOVERNMENT,,

KILA NCHI INA SHERIA ZAKE MIMI NATOA ZA HUKU ILI MJIFUNZE NA KUJUA MAANA NAONGEA ILI IKUSAIDIE WEWE AU YOYOTE YULE MWENGINE,,
HIVI NDIO VITU TUNGEKUWA NA SEHEMU KAMA MTANZANIA AKIFIKA ANAWEZA KUPEWA ELIMU TUNGEWEZA KUELIMISHANA MENGI,,
NADHAN NIMEWAELEWESHA VYA KUTOSHA,,

HATA TANZANIA NILIGUNMDUA MTU AKIWA NA BIMA INASAIDIA SANA ESPECIALLY WAKATI KAUMWA AU AKIPATA MATATIZO NA BIASHARA YAKE AND SO ON,,

ATT HA HEMFÖRSÄKRING ÄR VÄLDIGT VIKTIGT OCH JAG REKOMMENDERAR ATT ALLA SER TILL AT DE HAR DET ELLER SKAFFA DET FÖR DET HJÄLPER MOT MYCKET SOM KAN HÄNDA TILL EXEMPEL SJUKDOMSFALL ELLER DÖDSFALL.
SE TILL ATT DU GÅR VIA DIN ARBETSGIVARE OCH KOLLA VILKA SLAGS FÖRSÄKRINGAR DU HAR BÅDE SOM PRIVATPERSON OCH ANSTÄLLD
FACKET BRUKAR OCKSÅ KUNNA SÄGA VILKA FÖRSÄKRINGAR MAN HAR,,

SPIRIT AWARD 2016!!!

A GHANANIAN ACTOR NAMED  ABRAHAM ATTA,,HE SHOULD BE NOMINATED FOR AN OSCAR BECAUSE HE IS FANTASTIC IN THE MOVIE BEASTS OF NO NATION ALONGSIDE IDRIS ELBA,,,

 HE WON BEST ACTOR AWARD,,
 IDRIS ELBA WON SUPPORTING ACTOR,,,

DENIM VS LEATHER!!


 KENZA IN SOUTH AFRICA,,,


images;angelickablick.se,kenzas.se