Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, April 30, 2017

Yaliyojiri!!!

 Joyce Joyce Joyce acha nikuache kwa Leo.,


Sometimes huwa mnamchokoza halafu akiwajibu kuwa nyie ni maboya mnapanic.,
Why care jamani khaa..,na hata kama ingekuwa kaazimwa so...
utafkiri half of you hamuazimani nguo lol.,
Kuna vitu havina hata maana kuvitilia maanani.

2 comments:

Bintinyota said...

Ila walioachwa ni haki yao kuwa kazini kwa vyeti feki? Mbona hakuna usawa? WaTZ kweli waoga. Ingekuwa nchi nyingine pangechimbika

SUZANA ANORD said...

wenye makosa ni wale waliowaingiza wakiwa wanajua ni vyeti feki
ila Mungu atusaidie
naogopa kusema mengi nisije fungwa

kwani mtu mkiwa mashost ndio hamruhusiwi kuvaliana wabongo sijui tukoje
da nuu uko sahihi kabisaaaa