Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, April 30, 2017

Glad Valborg!!!


Sehemu nyingi Leo nchini Sweden watachoma moto kama mnavyoona juu kwenye picha na hii ni tradition ambayo hufanyika kila mwaka tarehe 30 april.
Sikukuu hii inaitwa Valborg na ni ishara ya kuiaga Winter na kuikaribisha Summer.
Hapo juu mmeona wanafunzi waliovaa kofia nyeupe hao ni baadhi tu Bali all The students nchi nzima watakaograduate june-august Leo ndio siku rasmi ya wao
Kuvaa hizo kofia mimi bado yangu ninayo kwani kila shule mnaruhusiwa kusidesign mnavyopenda but lazima maziwe nyeupe.
Ukishavaa hiyo The unajua kabisa that you are graduating ndiomaana Leo wamefurahi sana.
Wao Leo wataanza ha Champagne breakfast na kusherehekea mpaka usiku that is The tradition.
Wenye familia na wengine watajumuika kwa pamoja na kwenda kuhudhuria different activities na badae kwenda kutizama wakati moto ukichomwa kwa pmoja.

1 comment: