Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, October 31, 2013

ROBERTO CAVALLI SS2013,KATISHAJEEEEEEE!!!!ONLY IN BONGO!!!!HIZI NI PICHA KIDOGO TU KUWEZA ONYESHA MAZISHI YA BALOZI ISAAC ABRAHAM SEPETU,REST IN PEACE!!!
SOURCE:WEMADAILY

PIGA PICHA NASHUKA NA HII KAJUMPSUIT IN BONGOLAND AT THE AIRPORT MNAHISI WATANIFANYA NINI HAHAHAHAHAHAH!!!!NAJUTRAAAAAAA ZE SUMMER AINT LIVING HERE NO MOREEE MAZASTONETANGAWIZI BARIDI HAS TAKEN OVERR NA-WAOOOOO!!!


JUMPSUIT:BIK BOK
SHOES A GIFT
NO MAKE UP AT ALL AS USUAL AND THE BRAIDS FROM TZ.COM
MIWANI MY BROTHERS.COM

HAKUNA KITU DUNIANI KISICHOKUWA NA MWISHO AND I HOPE AND PRAY KUWA MUNGU KASKILIZA MAOMBI YENU,WAKAT NIKO TANZANIA KUNA WAKATI WALIBROADCAST WAKIWAPIGIA MZIKI WAFUNGWA WENZAO JELA AND THAT TOUCHED ME ALOT,LETS HOPE AND PRAY!!!

 NGUZA VICKING BABU SEYA NA MWANAE JOHNSSON NGUZO PAPII MAHAKAMANI,,


SOURCE;MSETO BLOG

MILLEN MAGESE IN BLACK AND WHITE CROPPED TOP WITH A SKIRT,,SHES IN SOUTH AFRICA FOR THE MERCEDEZ BENZ FASHIONWEEK WHICH SHE WILL WALK THE CATWALK FOR VARIOUS DESIGNERS!!COUPLEDOM;SHAMTE AND HIS BETTER HALF SEKO,THE PEOPLE BEHIND GROOVE THEORY AND WEOUTHEA!!!!


THATS HOW WE ROLL FOR NOW,ITS FALL TIME.COM!!!Wednesday, October 30, 2013

LES TWINS A.K.A TWIN TOWERS!!!!


IMAGINE I CANT DO THIS ANYMOREEEEEE IT IS TOO DAMN COLD MEEEEN,,ALL IN ALL IT WAS A WONDERFUL SUMMER IN LE SUEDE,,

BRIDGITTE ALFRED IN EVE COLLECTIONS LOOKBOOK!!!


YANAYOJIRI NYUMBANI KWA MAREHEMU BALOZI ISAAC SEPETU WAKATI WATU WAKIMUAGA JIJINI DAR-ES -SALAAM!!

 MWILI WA MAREHEMU UKIWASILI KUTOKA MORTUARY,,


 FRIENDS OF WEMA KAJALA AND ZAMARADI MKETEMA,,
ZE BOI,DR CHENI NA PETIT MAN WAKIBEBA MWILI WA MAREHEMU UKIRUDISHWA MORTUARY NA KUSAFIRISHWA KESHO ASUBUHI KWENDA ZANZIBAR,,I REMEMBER WHEN MY UNCLE PASSED ALIFIA DAR ES SALAAM IKABIDI HIVI HIVI TUSAFIRI KESHO YAKE AISEE UCKU MZIMA KUPANGA NA KUMAKE SURE KILA KITU KITAENDA SAWA NA KUWEZA HAKIKISHA NDUGU WOTE WATAWEZA HUDHURIA JAMANI KIFO KAMA HAUJAPITIA MTU WAKO WA KARIBU KUKUTOKA HAUJUI HOW IT FEELS UNLESS ISHAWAHI KUKUTOKEA,,DEATH IS ONE OF THE HARDEST THINGS INLIFE THAT US HUMANS HAVE TO DEAL WITH,,NAWATAKI KHERI ILI MMALIZE SALAMA KESHO NA KILA KITU KIENDE SALAMA,,
SOURCE;GLOBAL PUBLISHERS

AM LOVIN ALL THESE LOOKS BY RACHEL TEMU!!!


CONGRACTULATIONS NAKAAYA ON YOUR NEW JOURNEY AS A MOTHER!!!!