Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, April 30, 2017

HONGERA ZENU KWA MR AND MRS MLINGWA BETTER KNOWN AS MXCARTER!!!

Kwa msiomfahamu Michael ni kijana mdogo but mchapa kazi sana.
Michael kashawafanyia kazi wasanii wengi tu but also ni kijana nyuma ya show kama Mkasi,Jikoni na Mariam na vingine vingi.
Kashawafanyia pia kazi makampuni na watu baki kwani yuko vizuri sana kwenye kazi yake.
Kila la kheri Michael na mama mototo wako,Love You!

1 comment:

SUZANA ANORD said...

da nuu naomba niulize mbn bw.harusi anaonekana ni mdg kwa mkewe?
ni mtazamo wala sina chuki yyt
wawe na maisha mema ya furaha