LEO NTAONGELEA JINSI YA KUUMIZWA NA NDUGU NA KUSALITIWA.
LEO NTAONGEA JINSI YA HUZUNI NILIYOKUWA NAYO KWA BINAADAM ASIYEJUA SHUKRANI WALA UTU.
UNAAMBIWA MDA SAHIHI UKIFIKA MUNGU AKITAKA UMJUE MBAYA WAKO BASI NAAM UTAMJUA TU..
NASHKURU KILA SAA AU DAKIKA NINAPOPATA KUMJUA MBAYA WANGU NA MZURI WANGU PIA.
BILA KUONGEA SANA MTU ANAFIKAJE A POINT KUTAKA KUUZA MALI YAKO BILA IDHINI YAKO MPAKA KUMTISHIA MTU MAISHA KWA KUKATAA KUFANYA HICHO KITENDO NA KUKUPINGA NA LEO HII HUYO MTUVKUNITAARIFU MIMI,,
AMA KWELI SHUKRANI YA PUNDA NI MATEKE ILA NINGEPENDA MJIFUNZE KUTOKA KWANGU KUWA MTU YOYOTE YULE UTAKAYEKUJA MSAIDIA NA BAADAE AKAKAA NA KUKUONGELEA VIBAYA BASI WALA ISIKUSUMBUE AKILI KWANI NI NAFSI INAMSUTA.
WANAOKOSEAGA ALWAYS HUKIMBIA NA KUONGEA OVYO KILA PAHALA KUJIHAMI
NA EVERYTIME HE OR SHE IS DOING THAT JUA KUWA UMEMZIDI NA UKWELI HUSHINDA ALWAYS NO MATTER WHAT.
KAMA KUNA KITU NILIJIFUNZA LEO KWA HILI TUKIO NI KWAMBA DUNIANI TUNAISHI NA MIJITU AMAZING NUKSI FLANI HIVI AMBAYO HATA UIFANYIE NINI WAO NI WHO THEY ARE HIYO NDIO NATURE YAO AND ITS GOT NOTHING TO DO WITH YOU..
KOBE NA NG!E Walitaka kuvuka mto sasa kobe akamwambia scorpion wewe utaning!ata ila jua kuwa ukining!ata wote tutakufa bali scorpion akaapa na kusema hapana sitofanya hivyo.
Wakati wako katikati hatimae N!ge akamng!ata kobe then kobe akamwambia u see wote sasa tunakufa hapo ndipo scorpion akamjibu I cant help it that is just my nature and that my people is the moral of the story.
Nitaendelea kuwasaidia wanaostahili na kuacha kusaidia Ma scorpion,nimemaliza.com!!