Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, November 22, 2016

USIUTUMIE VIBAYA ULIMI WAKO MBELE YA MAMA YAKO AMBAYE ALIKUFUNDISHA KUONGEA!!!
LEO NTAONGELEA JINSI YA KUUMIZWA NA NDUGU NA KUSALITIWA.
LEO NTAONGEA JINSI YA HUZUNI NILIYOKUWA NAYO KWA BINAADAM ASIYEJUA SHUKRANI WALA UTU.
UNAAMBIWA MDA SAHIHI UKIFIKA MUNGU AKITAKA UMJUE MBAYA WAKO BASI NAAM UTAMJUA TU..
NASHKURU KILA SAA AU DAKIKA NINAPOPATA KUMJUA MBAYA WANGU NA MZURI WANGU PIA.
BILA KUONGEA SANA MTU ANAFIKAJE A POINT KUTAKA KUUZA MALI YAKO BILA IDHINI YAKO MPAKA KUMTISHIA MTU MAISHA KWA KUKATAA KUFANYA HICHO KITENDO NA KUKUPINGA NA LEO HII HUYO MTUVKUNITAARIFU MIMI,,
AMA KWELI SHUKRANI YA PUNDA NI MATEKE ILA NINGEPENDA MJIFUNZE KUTOKA KWANGU KUWA MTU YOYOTE YULE UTAKAYEKUJA MSAIDIA NA BAADAE AKAKAA NA KUKUONGELEA VIBAYA BASI WALA ISIKUSUMBUE AKILI KWANI NI NAFSI INAMSUTA.
WANAOKOSEAGA ALWAYS HUKIMBIA NA KUONGEA OVYO KILA PAHALA KUJIHAMI
NA EVERYTIME HE OR SHE IS DOING THAT JUA KUWA UMEMZIDI NA UKWELI HUSHINDA ALWAYS NO MATTER WHAT.
KAMA KUNA KITU NILIJIFUNZA LEO KWA HILI TUKIO NI KWAMBA DUNIANI TUNAISHI NA MIJITU AMAZING NUKSI FLANI HIVI AMBAYO HATA UIFANYIE NINI WAO NI WHO THEY ARE HIYO NDIO NATURE YAO AND ITS GOT NOTHING TO DO WITH YOU..
KOBE NA NG!E Walitaka kuvuka mto sasa kobe akamwambia scorpion wewe utaning!ata ila jua kuwa ukining!ata wote tutakufa bali scorpion akaapa na kusema hapana sitofanya hivyo.
Wakati wako katikati hatimae N!ge akamng!ata kobe then kobe akamwambia u see wote sasa tunakufa hapo ndipo scorpion akamjibu I cant help it that is just my nature and that my people is the moral of the story.
Nitaendelea kuwasaidia wanaostahili na kuacha kusaidia Ma scorpion,nimemaliza.com!!

17 comments:

comfort said...

Mmmmmmh,Pole Nuru wanasema mfadhili Mbuzi utakula hata mchuzi bt si Binadam.

happie said...

Oooh so sorry my Nuru..kila mahali mascorpion wapo yani inatiahasira mpaka basi mimi yalishanikuta hila ndiyo hivyo watu wengine unakuta tumeumbiwa roho ya misaada huweacha kuwasaidia.. Kumuachia Mungu tu adili nao.

Anonymous said...

of course kwa kweli hakuna cha ndugu wa la jirani mtu akiamua kuwa na roho ya kiscropion huwezi mbadilisha i have seen a lot at this age ( kimalkia nikutia msisitizo) na bado naona . muda mwingine nikiwaza nasema naacha kufanya hivyo lakini huwa nakaa muda mchache nasahau naendelea tena ....ambutterfly

Anonymous said...

Pole sana Nuru, mambo ya banaadaamu hayoo. Winnie

Anonymous said...

Kwani Nuru ushakimbia baridi?? Nahisi kama nimepitwa vileeeeeee. Winnie

Cute Olive said...

dah nilipamiss humu wiki moja nimeona mwaka! Umeongea yote dear! pole

Bintinyota said...

Dah. Nimepitwa sana humu ndani.

Hii mada Leo imenigusaaa!!!
Acha nisiseme mengi.

Lkn dah waja sisi?
Then nimegundua sisi kina mama huruma ndiye hutendwaaa, yaani hata kama nikupimwa imani zetu, duh ni shida.

Ila tushukuru, siku zote Mungu huwaumbua wabaya wetu. Ameen

Anonymous said...

Leo hii topic imegusa pabaya.....mimi nina kaka yangu mkubwa nimechangia nae mama, Jamani huyu mtu ni bad news!!!!😭😭
Na mimi najiona Kama yatima, Baba yangu alikwisha fariki. Baba mmjo mama mmjoja tulizaliwa wa tatu, na mimi ndio wa mwisho.
Kaka yangu nilie mfuata alifariki mimi nikiwa bado mdogo, kaka yangu mwingine yeye ndio alikuwa Kama baba kwangu alikuwa best friend wangu...nae alifariki mwanzoni mwa mwaka huu 💔 😭😭
Huyo kaka yangu mkubwa nilie changia nae mama Jamani .....ana roho mbaya alafu akisha alibu anapigia watu simu kunisema mimi...
Anapenda kujikosha sana, hila kitu nacho shukuru Mungu kila siku uwongo huwa unajitenga...Mungu ndio atakuwa hakimu wa haki...
Yani huwa nalia sana, alafu saaingine nacheka nikimfikiria huyu kaka yangu na mambo yake,
Kweli ustarabu hauna kabila, hali hii huyu mtu ajakulia Tanzania yeye ni Alfcast....
Pole Nuru...kwa unayo yakabili.
AM....

Anonymous said...

KARIBU TENA BONGO....NA POLE

Bintinyota said...

Pole sana AM
Mimi sisemi nakwambia.

Anonymous said...

Ahsante sana, Bintinyota ,... Bora ata usiseme maana ndio utaona uchungu zaidi... Thanks wangu Bintinyota . Ndio mambo ya dunia.
AM....

Tabi said...

Hii dunia jamani dah,sijui tunaelekea wapi,si rahisi kumpata mtu wa kumuamini si ndugu si rafiki..pole sana Nuru.AM pole sana ndugu yangu

NURU THE LIGHT said...

Ahsanteni from the bottom of my heart..
Am pole sana but ni bora mtu akuibie maembe mawili kwenye tenga kuliko tenga lote na unaambiwa kitu chochote duniani cha dhulma huwa hakikufikishi mbali so to all the kungunizz out there know that jasho au chozi la mtu huwa haliendi bure..

Anonymous said...

Ahsante Tabi..
Cha dhuluma huwa akidumu, Mali ya dhuluma haina baraka Nuru. Machozi ni laana tosha.
AM...

Unknown said...

Yaani mamdogo, karibu nilie...
maana inaumiza kujikuta mpweke wakati una ndugu kibao lakini wenye husuda na ukosefu wa shukrani.

Kila unaposema ngoja uendelee kuwa na utu-wema , wanakuona si lolote si chochote.
Dhuluma si njema jamani. Na dhuluma can come in many forms and shapes including ukosefu wa shukrani kwa wema uliotendewa, au kueneza fitina ya ubaya kwa mtu aliekutendea mema. Achilia mbali physical dhuluma...

anyways, kama nimeongea kwa uchungu maana umegusa penyewe.
Mungu atusaidie sana maana mbingu ipo na inatuhitaji tufike.

Ma'mdogo wa Boston

NURU THE LIGHT said...

Ma mdogo umeongea yoteee better than i did aisee umenigusa..ahsante

Bintinyota said...

Ma mdogo na wengine Mimi siongei kitu Leo, ila kuna siku ntaongea. Jamani ukipata MTU awe ndugu, rafiki akafurahia mafanikio au jambo lako, huyo usimuache hata kama una millions reasons.

Mimi nimeamua kuwa mjinga tu kuepusha Shari, na ukiwa mkubwa jaaa