Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, November 3, 2016

HE WHO SEEKS SHALL FIND AND HE WHO ASKS SHALL RECEIVE,TODAY!S!!!



















Blazer;Mango Pants;Mango Top;Zara Earrings;Guldfynd Lipstick;Loreal Photos by Mcreggor!!

10 comments:

Anonymous said...

Ngoja nikukumbushe wimbo wa zamani, "Wasiwasi wako wanini shurti niseme ukweli, mwili wangu mzuri, kila vazi linakubali uzuri wangu wa kuzaliwa, maringo kwetu kawaida, nikigeuka utakubali, nikicheka utakubali, nikicheza utazimia wasiwasi... sikumbuki waliimba nani aidha Tancut Almasi au Safari sound my song sums it all...CinTea

leezy said...

da nuu kumbe kijungu kipoo ehh!!!
kimekaa vizr kweli
hahhaa!!!
figa yako simpo had raha

Unknown said...

Amen..

Anonymous said...

Aaawwe Nuru naona msambwanda umo eeeee. Looking good girl. Winnie

happie said...

looking good as always..

Anonymous said...

Amen!! Beautiful
AM...

NURU THE LIGHT said...

Hahahhahahahah Cintea ntaitafuta thanks,,
Kijungu kipo wapendwa sema hatukapi promo hahaha Thank you all lovies๐Ÿ˜š๐Ÿ˜š๐Ÿ˜š

Bintinyota said...

V shape yako tu!! Uwa inaniuwaa.

Anonymous said...

Cin tea kweli wewe kiboko huo mwimbo ni wa zamani ile mbaya sijui waliimba sikinde au vijana jazz? Kwakweli Nuru kila nguo inampendeza hongera dear...TNS

NURU THE LIGHT said...

Ahsanteni Bintinyota na TNS