Africa hasa Tanzania kufikia uboreshaji huo wa mazingira labda miaka 50 ijayo.naona kama baadhi wapi stage ya homohabilis...vituko haviendani na karne hii.mwamini
Kwenye Nsubiri Usilale nilivaa suruali mpenzi na gauni but hii blouse niliivaa kwenye shooting ahsante,, Yaani anonimus mazingira hupendezesha mno nchi na sehemu ikiwa safi usafi ni muhim sana basi tu..
Umependeza mpk raha .Höst inarangi nzurii. viatu nunuaga vyenye kutight kidogo kwenye soup ya mguu..na mie napataga shida ila huwa kapata kisichopwayajuu. Sijui viatu wamejitenge size ya miguu yao.MAANA waswed miguu wamejaaliwa
12 comments:
Africa hasa Tanzania kufikia uboreshaji huo wa mazingira labda miaka 50 ijayo.naona kama baadhi wapi stage ya homohabilis...vituko haviendani na karne hii.mwamini
Umependeza mamito, hyo shirt km ile kwenye wimbo wako wa "subri usilale"
Kwenye Nsubiri Usilale nilivaa suruali mpenzi na gauni but hii blouse niliivaa kwenye shooting ahsante,,
Yaani anonimus mazingira hupendezesha mno nchi na sehemu ikiwa safi usafi ni muhim sana basi tu..
You rock m diggin this look
nice look
Umependeza mpk raha .Höst inarangi nzurii. viatu nunuaga vyenye kutight kidogo kwenye soup ya mguu..na mie napataga shida ila huwa kapata kisichopwayajuu.
Sijui viatu wamejitenge size ya miguu yao.MAANA waswed miguu wamejaaliwa
Thanks Winnie and anon wa mwisho thank you for the tip yaa waswidi wana miguu
killing it!!!! beautifully styled outfit and a picturesque location...Im in LOVEEE!
Thank youuuuuu Tania,😙😙😙😙
Modelling inakufaa Nuru ulishawahi kufikiria kuwa model? Umependeza hadi raha, naona fall imekubari haswa miti yote njano...TSN
AHSANTE TSN FALL IMEKOLEA SINA HAMUUU ILA NJE PAMEPENDEZA BARIDI SASA,,
Post a Comment