inaumiza sana kuona binti anamaliza muda wake kwenye mambo ambayo hayatamsaidia lolote, Binti amka acha drama...binti amka kaza mwendo...ni binti mrembo na bado wa ng'ara..hivi kweli hawa wanajua hata program zinazo empower wanawake na wasichana kweli?? aisee kutokujua thamani yako ni shida sanaaaa...
Kwakweli inasikitisha yaani wanawake ndio wamefikia huku looh inatia kinyaa why jamani why miaka 50 ya uhuru bado kuna wanaotukanana kwenye mitandao ya kijamii???!!!! Malaika shuka ufanye kazi yako ili tuweze kupumzika labda watu wanaweza kurudi kwenye akili zao maana kwa sasa ni wamepagawa...TNS
Use social media positively,Remind me again huyu Aunty Lulu ndo nani???!! Irrelevant kwenye jamii.That whole time anatumia kuporomosha maneno angetumia kufanya biashara,And U Bond wanaume hawajibizanagi khhaaaa use the power of silence.
5 comments:

Latina watu ambao hawajautumia umaarufu wao vizuri ni huyu lulu....!kawa hovyo anahangaika na umaarufu kunuka sasa.MWAMINI
Wasojiamni hao mxxxx ni shida haki

Post a Comment