Genuine Nordic Vodka
Showing posts with label QUOTES FROM SETH DE JESUS GIOVANNIE. Show all posts
Showing posts with label QUOTES FROM SETH DE JESUS GIOVANNIE. Show all posts
Saturday, November 15, 2014
Saturday, November 8, 2014
Friday, July 18, 2014
FROM SETH DE JESUS GIOVANNIE!!!
Sio kila EX ni EXPIRED,EX zingine ni EXAMPLE:Utanielewa tu...
Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana Mpenzi wa Zamani wa Mkeo kabla HUJAMUOA na Muogope sana EX wa Mmeo kabla HAJAKUOA kuliko hata hawa Vidume na Vijike vinavyomtaka akiwa tayari amevaa pete...I will tell you WHY!!
Kuna watu walipendana sana lakini hao waliowapenda kwa moyo HAWAKUWAOA...kutokana na Situations fulani Mwanamke akalazimika aolewe na kijamaa fulani tu ambacho kilikuja na sera ambazo 'Wanawake wanapenda' na kako vizuri financially IKABIDI huyu mwanamke aachane na 'Tulizo lake la moyo' kidemokrasia tu aolewe na wewe...It doesnt matter how lakini hawa watu wawili walioachana kidemokrasia "Bado wanapendana deep down" na hata ukifanikiwa kumuoa,ukamhamisha mkoa wasionane,Ukambadilishia namba za Simu wasiwasiliane tena,Itapita miaka hata 6 hawajatiana machoni ipo siku PAAAP,watakutana Kariakoo kwenye shopping,zile cheche na hamu na mapigo ya moyo yataruka upya,na kifuatacho ITV kitakuwa Isidingo
Mapenzi yao hayakufa...Pete haizuii kitu...Watajikuta wameunganisha Vikojoleo upya,tena kwa huba zito la kumisiana kwa hali ya juu,wewe ukidhani Pete pekee itamlinda,kumbe waapiii,na huo ndio utakuwa mwanzo wa hawa watu wawili kuwa na Reunion kabambe ya Kulegeza Chaga,wewe umeoa kwa Mahari mwenzio anapiga Bureee bila Mshenga!
Kama nadanganya Wanandoa waje na waseme hapahapa....Ndoa ni Complicated kuliko Hesabu za Logarithm na Integration,Ndoa ni Fumbo na walioweza kulifumbua ni wachache sana kwa msaada wa Mungu,ila Wengi wanadhani wamelifumbua Fumbo kumbe wametegwa na hawajui mtego ulipo,Ndoa needs God na watu wenye hofu ya Mungu otherwise "UTAOLEA KIJIJI"
Thursday, June 26, 2014
FROM SETH DE JESUS GIOVANNIE!!!
Usiolewe kwa sababu KUNA MWANAUME KASEMA ANA MAHARI MKONONI...Olewa kwa sababu Mwenye Mahari ni Mwanaume uliyekuwa unamtaka na anakidhi viwango ulivyovitaka in a man....Being Desperate for Marriage inafanya watu wakubali tu ndoa kwa kisingizio BAHATI HAIJI MARA 2....Nani kasema!!
Usishushe viwango vyako ili tu uwekwe ndani...Thamani yako hailingani na mahari unayolipiwa...Anayetaka kukuoa lazima ajue WEWE NI NANI...KWANINI MPAKA LEO HUJAOLEWA...Lasivyo unatupa Impression unaolewa ili kutoa gundu la kutoonekana ni wewe tu umebakia huna mume.
Ujinga ni kusema,"Miaka inaenda ngoja nimkamate huyuhuyu aliyetangaza Nia"
Miaka itaenda tu haisimami whether umeolewa au Lah
Jitunze upate Mme bora na sio BORA MUME ili na wewe uonekane wamo
Heri uchelewe upate kilicho bora kuliko uwahi ufe Mjane kwa talaka ya mapema
Saturday, June 14, 2014
FROM SETH DE JESUS DE GIOVANNIE!!!
UNAMDANGANYA NANI???
Unajijua kabisa bado una tabia mbovu na hujasettle,unatafuta kabinti ka watu unatangaza ndoa unakaoa ili tu ukamgeuze kichaka cha kufichia umajnuni wako...Pete na Kiapo haina Auto-Eraser kubadili u-kimbito wako Overnight..Utaenda kumtesa tu binti wa watu wakati ulijua kabisa haukuwa tayari kutulia kufuata misingi ya Ndoa..
UNAMDANGANYA NANI??
Unajijua kabisa tabia zako mbovu na bado ni maharage ya Mbeya lakini umemkamata mjinga-mjinga flani kwa mbinu zako za Zena na Betina Ameingia Kingi ametangaza ndoa..Unajijua kabisa Unaekti na hauko tayari kwa Ndoa ila kwa sababu umelipata fala ambalo halikujui vizuri..umeliektia kwa muda mfupi kakuweka ndani only to find wewe ni machepele tu mbele haikai nyuma haikai wakati mwenzio alikuoa AKIMAANISHA
Wengi tunaoa na kuolewa tukiwa HATUKO TAYARI..Kuna forces behind...Wengi umri unawakimbiza...Wengine Wazazi wanauliza sana...Wengine wamefosiwa na PATA MIMBA UOLEWE(PMU),lakini ile Decision haikutoka from deep within
Ukiolewa ili 'Uwapooze Wazazi' utafanikiwa Kuwapooza kwa muda mfupi lakini kwa sababu Tabia zako haziendani na Jukumu uliloliingia Ni Wazazi hawahawa waliokupush uolewe watasema "TUMECHOKA KULETEWA KESI NA MMEO KILA SIKU"
Bata ni Bata tu,Hata akila mawe lazima ataharisha tu
Unajijua kabisa bado una tabia mbovu na hujasettle,unatafuta kabinti ka watu unatangaza ndoa unakaoa ili tu ukamgeuze kichaka cha kufichia umajnuni wako...Pete na Kiapo haina Auto-Eraser kubadili u-kimbito wako Overnight..Utaenda kumtesa tu binti wa watu wakati ulijua kabisa haukuwa tayari kutulia kufuata misingi ya Ndoa..
UNAMDANGANYA NANI??
Unajijua kabisa tabia zako mbovu na bado ni maharage ya Mbeya lakini umemkamata mjinga-mjinga flani kwa mbinu zako za Zena na Betina Ameingia Kingi ametangaza ndoa..Unajijua kabisa Unaekti na hauko tayari kwa Ndoa ila kwa sababu umelipata fala ambalo halikujui vizuri..umeliektia kwa muda mfupi kakuweka ndani only to find wewe ni machepele tu mbele haikai nyuma haikai wakati mwenzio alikuoa AKIMAANISHA
Wengi tunaoa na kuolewa tukiwa HATUKO TAYARI..Kuna forces behind...Wengi umri unawakimbiza...Wengine Wazazi wanauliza sana...Wengine wamefosiwa na PATA MIMBA UOLEWE(PMU),lakini ile Decision haikutoka from deep within
Ukiolewa ili 'Uwapooze Wazazi' utafanikiwa Kuwapooza kwa muda mfupi lakini kwa sababu Tabia zako haziendani na Jukumu uliloliingia Ni Wazazi hawahawa waliokupush uolewe watasema "TUMECHOKA KULETEWA KESI NA MMEO KILA SIKU"
Bata ni Bata tu,Hata akila mawe lazima ataharisha tu
Thursday, May 22, 2014
FROM SETH DE JESUS GIOVANNIE A.K.A BIKIRA WA KISUKUMA!!
Zamani nilikuwa naona kama Stori tu watu wanaongea kujifurahisha lakini kumbe LA HASHA!! Kumbe yanatokea bwana,nimeshtuka!!
Lakini nikajipa Moyo nikijua wanaofanya haya ni Wanawake wa Kiswahili wa huko Kwa Bibi Nyau ambao hawajaenda Shule lakini kumbe LA HASHA!!Hadi Masistaduu wanafanya haya kumbe,Nimeshtuka,Nimeogopa!!
HADI MASISTADUU WANAENDA KWA WAGANGA SIKU HIZI???Eh Yesu urudi tu jamani,wadada wa heshima,ukiwaona kama vile wamestaarabika kumbe ololoooo,HASARA!
Una Degree unaenda kwa Mganga aliyeishia LA PILI akusaidie Umpate Mwanaume Fulani???KWELI??
Una Masters' Degree unaenda kwa Mganga eti kumkomesha Mwanamke aliyekuibia Boyfriend???Boyfriend Kweli,ambaye hata Shangazi zako wa kijijini Nyamabera hawamjui???Ukiibiwa Mme si utashika Bastola uue??
WADADA MMEPATWA NA NINI????Ndo mahaba haya???
Wanaume wenzangu kuweni makini,anavaa High Heels huyo,Amesoma huyo,anafanya kazi nzuri huyo lakini KIGAGULA,Wengine mmenaswa mnashangaa mnafanya maamuzi bila kuelewa nini kimewapata kumbe MDADA AMEKUTENGENEZA
Na rule za Ulimwengu huu ziko LOUD and CLEAR,Kama huna Yesu basi Shetani lazima awe COUSIN WAKO
WADADA MMETISHA....Afanaleki,hadi kunena kwa lugha nimeshindwa leo
TAWIRE DADA TAWIREEEE,JOHNSON AACHANE NA LUCY AWE WANGU,TAWIRE DADA TAWIRE...
Mungu akisaidie kizazi hiki!
Tuesday, May 20, 2014
FROM SETH DE JESUS GIOVANNIE A.K.A BIKIRA WA KISUKUMA!!!
Ukioa Mke Mzuuuriiii,kuna raia utawasikia tu,''Wanawake wa vile hawafai kabisa,huwezi kummiliki yule utagongewa tu atakufilisi'',na maneno kadha wa kadha...Kwani Mademu wazuri hawana Hisia au mnadhani mioyo yao inapitisha Utomvu badala ya damu??
Ni kweli kwamba Watu wanaogopa sana kuoa wanawake wazuri kutokana na historia zilizo wazi kwamba 'injini zao za Mapenzi huwa zinanoki bila taarifa na spea hakuna'' lakini Hicho sio Kigezo pia cha wewe Kuoa Kinyago cha Mpapure shangazi yake Sanamu la Michelini ambaye ni mpwa wake Mwajuma Ndalandefu! Utawasikia kisingizio chao,''Mademu wa kawaida ndo Wife Material'',nani kasema??Unaweza ukachukua wa Kawaida na akakumbitsa-kimbitsa kama Usain Bolt ukajuta,Uzuri umekosa na Jalamba unapigishwa kama kawa...Uzuri au Ubaya wa Mtu hauna uhusiano wa Moja kwa moja na U-Waifu matirio
Kimfaacho mtu chake,Oa mtu ambaye wewe na Halmashauri ya Kichwa na Macho yako ya juu na chini yakimuangalia Maruhani yanapanda,Sasa we danganywa ooh oa mke wa kawaida uibuke na Gong'ole halieleweki Boneti iko wapi wala buti iko wapi uone...UNAISHI NAE MILELE HUYO KUMBUKA,Jipatie Chaguo lako ambalo kila akiamka kwenda kuoga unamtazama na Mnara unaanza kuonyesha mawimbi ya kukamata Channel
Msione watu wanasali makanisani kwa Kulia hadi makamasi mkajua wanaombea Nchi yetu isiingie Vitani,au wanaombea Mayatima,Kuna watu wanalia na kulia na Mengi,Wengine wanaomba Wake zao/Waume Zao wafe ili kile kifungo cha Ndoa kitenguke waanze kusagula-sagula upya maana huko ndani wameoana lakini mmoja ameekwa hisia kama Boko Haram
NA mbaya zaidi kadri unavyokomaa Kumuombea Mmeo/Mkeo afe ili ujinasue ndo anazidi kunenepeana na Mashavu yanatoka,HAFI NG'OO,CHAGUA VIZURI KAMA Samuel Sasali,ikifika sa9 anahisi masaa hayaendi akamuone kipusa Milembe John Madaha Ghetto.
Kila nikitaka kuoa NATETEMEKA hadi najisikia kunena kwa lugha Ohhhh rikababababashantarabatarakatashimabataKANTANGAZErikobosikasethkatisharikabosishantahaymah
Wednesday, May 14, 2014
FROM SETH DE JESUS GIOVANNIE!!!!
TOPIC YA NDOA HAIFI:
Wanaume huwa wana tabia ya kurusha lawama(throwing blames) kwa Wanawake wakigundua aidha
Mwanamke huyo amecheat,bila kujali yeye amecheat ama lah
Ni kweli kwamba kuna Wanawake wameolewa kwa sababu ya FAME,ilimradi nae aitwe MUKE YA FULANI,lakini kuna wengine ni VERY DESCENT na wameolewa wakiwa wamedhamiria kuolewa,wajenge familia na watulie na mme huyo.
Unapooa Mwanamke ambaye hukumkuta na Ute wa Bikira jua wazi ametumika,na inawezekana ametumika kwelikweli,Kuna Miko imepita,Vijiko vimepita,Miswaki imepita,Matango yamepita,na unapomuoa ni jukumu lako kuhakikisha wewe ni Kombinesheni ya Tango,Kijiko,Mswaki na Mwiko ili mke huyu abakie wako wewe na sio wako+Mwiko(ex fulani)
Kabla hujamlaumu Partner wako kwanini amecheat,Jiulize,UNA KOMBINESHENI YA KUMKAZA VIZURI??
Shida ya Wanaume ni UBISHI na UJUAJI...Hata uwe Mlokole unayenena kwa Lugha,Ukioa weka ulokole chini,KAMUA SAWASAWA,Usifanye Tendo la Ndoa kama unangojea Mkate wa Sakramenti,KAMUA SAWASAWA
Na Mke akikwambia Mme wangu haitoshi MUONGEZE DOZI,sio uanze kumwambia ohh mwanamke unafanya ndalilo hii,hutosheki,unadhani chakula,kesho nimechoka,na visingizio vya leo sijisikii vizuri..Wengine Mkiambiwa DOZI HAITOSHI Mnanuna,hamtaki kukubali kwamba DOZI HAINA MASLAHI/..
Mmachinga akikwambia HAINA MSLAHI Lazima Uongeze Hela lasivyo hiyo bidhaa atauziwa Mwingine....WENGINE MNAMEGEWA KWA KUJITAKIA,Dozi Ndogo,ukiambiwa hutaki kujifunza,anapewa Muuza Genge!
Nikiwaza kuoa NATETEMEKA hadi nanena kwa Lugha,Ooooh rikabababababashantarabatararararayatarashantahamaKANTANGAZEtashabahatasethkatishaharabatatatarikoborositah
Subscribe to:
Posts (Atom)


