SPICED MY CHICKEN AND PUT IT IN THE OVEN,,
OXTAIL A.K.A MIKIA HII SUPU TULIILA ASUBUHI BAADA YA SAKATA LA HALLOWEEN NIKAWEKA NDIZI NA VIAZI,,
SALMON,,,
SALMON DOES NOT NED ALOT OF SPICES SO TODAY I WENT FOR DILL WHICH IS A SWEDISH SPICE AND DIJON MUSTARD WITH SALT AND GARLIC.
PUT IT IN THE OVEN FOR ABOUT 40MINUTES,,
IWEKE KWENYE OVEN KWA MDA WA DAKIKA 40 KWA MOTO MDOGO KWANI SALMON HUIVA UPESI SANA,,
VOILA,,
I GOT MY SALMON AND MY CHIKEN IN THE OVEN WHILE PREPARING MY SALLAD..'
KWENYE OVEN NIKIWA NIMEWEKA MY SALMON NA KUKU HUKU NIKITENGENEZA SALLAD ALWAYS SALLAD LAZIMA IWEPO,,
KARIBUNI MEZANI WAPENDWA!!!