Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, November 1, 2016

KARIBUNI MEZANI KWANGU WAPENDWA!!!SPICED MY CHICKEN AND PUT IT IN THE OVEN,,


 OXTAIL A.K.A MIKIA HII SUPU TULIILA ASUBUHI BAADA YA SAKATA LA HALLOWEEN NIKAWEKA NDIZI NA VIAZI,,

 SALMON,,,
 SALMON DOES NOT NED ALOT OF SPICES SO TODAY I WENT FOR DILL WHICH IS A SWEDISH SPICE AND DIJON MUSTARD WITH SALT AND GARLIC.
 PUT IT IN THE OVEN FOR ABOUT 40MINUTES,,
IWEKE KWENYE OVEN KWA MDA WA DAKIKA 40 KWA MOTO MDOGO KWANI SALMON HUIVA UPESI SANA,,VOILA,,


I GOT MY SALMON AND MY CHIKEN IN THE OVEN WHILE PREPARING MY SALLAD..'

KWENYE OVEN NIKIWA NIMEWEKA MY SALMON NA KUKU HUKU NIKITENGENEZA SALLAD ALWAYS SALLAD LAZIMA IWEPO,,
KARIBUNI MEZANI WAPENDWA!!!

11 comments:

comfort said...

Mweeeee,unanitamanisha me nikiona nyama tu nachanganyikiwa.

Anonymous said...

Delicious!!! Thanks Mummy, Leo nimechekaje kwani nimeingia nami nikiwa mezani, vinginevyo njaaa ingezidi
Ingeanza kazi ya kutafuta vibawa...hahahahahaha!!
A M....

NURU THE LIGHT said...

Ngoja niwachekeshe kuna siku na watch movie saa saba za usiku si ije scene moja wanakuwa a chocolate CAKE jamaniiiii nilifungua kika kabati jikoni kila uvungu kutafuta chocolate au hata ka cookie ili nitoe hamu wapiiiiii nlikuwa nimeshavitupa nisiwe nakula usiku hahahhahha nlijutraa😂😂😂

Anonymous said...

very nyc kwa kwei mate yanidondoka haswaaa

Anonymous said...

Leo umenifurahisha sana na mapishi, niko busy kidogo nitarudi kuchungulia baadaye...CinTea

Bintinyota said...

Hahahahaha kumbe tupo wengi lol.
Big up cheff Light

Anonymous said...

Sasa besti mbona hujasema umeweka nini kwenye nyama nasie tudesee tujisikie tupo nuruni??...CinTea

Mwahhy said...

Asante Chef sio kwa mapishi hayo jmn

grayce gracious said...

Nuru mbona hukutoa ripoti ya mtori jamani? hapo umesema umechemsha nyama ukaweka viazi na ndizi. hebu pika mtori tuone kama mwanafunzi alielewa somo.

Anonymous said...

ha hahahahahahahahah!!!!!!! Umeona Eheee Nuru lazima utafute kitu chakula...hapo ndio sipendagi usiku kuangalia 24 kitchen.. LOL
AM....

NURU THE LIGHT said...

Kwenye nyama kitunguu swaumu,tangawizi,koriander,chumvi na ndimu kwa mbali.