Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka
Showing posts with label Mabeste afunga ndoa. Show all posts
Showing posts with label Mabeste afunga ndoa. Show all posts

Tuesday, November 1, 2016

CONGRACTULATIONS TO MR AND MRS VENANCE A.K.A THE MABESTE!S!!!






NYUSO ZENYE RAHA ZENYE TABASAMU WELL DONE GUYS,,
MABESTE KILA PICHA ANA SMILES TUU WELL DONE,,

Sasa SIO WENGINE MTU KANUNA KAMA ALILAZIMISHWA KHAA,Inahuu!!
Ila tusialaumu kuna harusi zimebeba mengi tena huzuni tuu kwani sio kila alovaa nguo ya harusi kapenda.

YOU DID IT AND NOW ARE A HUSBAND AND A WIFE,THE JOY I FELT WHEN YOU MADE IT OFFICIAL IS UNEXPLAINABLE CAUSE YOU ARE THE EPITOME OF WHAT TRUE LOVE IS!!!




NIMEFURAHI MNO KWA HII NDOA KUKAMILIKA BECAUSE HISTORIA YA HAWA WAWILI MNAIJUA.
KUNA MAHUSIANO MNAYAPA NAFASI KUBWA KWA KUYAJADILI NA KUYASIFIA BUT KIUKWELI HAYANA FUNZO BUT HAYA MAHUSIANO BETWEEN LISA NA MABESTE YALIKUWA NA YANAENDELEA KUTUFUNZA MAANA YA FOR BETTER AND FOR WORSE.
MAHUSIANO HUTESTIWA WAKATI WA SHIDA NA SI RAHA.
LISA KUNA KIPINDI ALIUMWA SANA NA KUWA NA MITIHANI MINGI BUT MABESTE HAKUMUACHA BALI ALIKUWA NAE BEGA KWA BEGA MPAKA SIKU ALIYOPONA.
KUNA MAHUSIANO YANAREPRESENT A UNION AMBAYO ISIKUTIE WIVU BALI MUOMBE BABA MUNGU AKUPE MTU WAKO AMBAYE ATAKUWA BEGA KWA BEGA NA WEWE KWENYE LOLOTE NA CHOCHOTE  AMBACHO KITAHESHIM NA KUENZI PIA KULETA MAENDELEO KWENYE  MAHUSIANO YENU.
NASHKURU KUWA I WAS ALIVE TO WITNESS MAPENZI YA KWELI YAKIWA MSHINDI,NAWATAKIENI KHERI LISA NA MABESTE NA NAWAPENDA SANA!!!