Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, November 1, 2016

YOU DID IT AND NOW ARE A HUSBAND AND A WIFE,THE JOY I FELT WHEN YOU MADE IT OFFICIAL IS UNEXPLAINABLE CAUSE YOU ARE THE EPITOME OF WHAT TRUE LOVE IS!!!
NIMEFURAHI MNO KWA HII NDOA KUKAMILIKA BECAUSE HISTORIA YA HAWA WAWILI MNAIJUA.
KUNA MAHUSIANO MNAYAPA NAFASI KUBWA KWA KUYAJADILI NA KUYASIFIA BUT KIUKWELI HAYANA FUNZO BUT HAYA MAHUSIANO BETWEEN LISA NA MABESTE YALIKUWA NA YANAENDELEA KUTUFUNZA MAANA YA FOR BETTER AND FOR WORSE.
MAHUSIANO HUTESTIWA WAKATI WA SHIDA NA SI RAHA.
LISA KUNA KIPINDI ALIUMWA SANA NA KUWA NA MITIHANI MINGI BUT MABESTE HAKUMUACHA BALI ALIKUWA NAE BEGA KWA BEGA MPAKA SIKU ALIYOPONA.
KUNA MAHUSIANO YANAREPRESENT A UNION AMBAYO ISIKUTIE WIVU BALI MUOMBE BABA MUNGU AKUPE MTU WAKO AMBAYE ATAKUWA BEGA KWA BEGA NA WEWE KWENYE LOLOTE NA CHOCHOTE  AMBACHO KITAHESHIM NA KUENZI PIA KULETA MAENDELEO KWENYE  MAHUSIANO YENU.
NASHKURU KUWA I WAS ALIVE TO WITNESS MAPENZI YA KWELI YAKIWA MSHINDI,NAWATAKIENI KHERI LISA NA MABESTE NA NAWAPENDA SANA!!!

2 comments:

Cute Olive said...

Wametoka mbali mnoo ni bahati kupata mwanaume anayekupenda namna hiyo. Nawaombea heri na baraka katika maisha yao!

Anonymous said...

you mean EPITOME? epidemic is a disease .... just saying!!!