NYUSO ZENYE RAHA ZENYE TABASAMU WELL DONE GUYS,,
MABESTE KILA PICHA ANA SMILES TUU WELL DONE,,
Sasa SIO WENGINE MTU KANUNA KAMA ALILAZIMISHWA KHAA,Inahuu!!
Ila tusialaumu kuna harusi zimebeba mengi tena huzuni tuu kwani sio kila alovaa nguo ya harusi kapenda.
5 comments:
after what they have gone through kweli Mungu ni mwema...Lisa amepata mume bora siyo bora mume...Mungu azidi kuwalinda na kuzidi kupendana...
Samahani kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha. Hivi huyu mabeste ndio yule mke wake alikuwa mgonjwa hawezi hata kutembea? kama ni yeye basi mwacheni Mungu aitwe Mungu jamani, na kama ni yeye mabeste ana realy love na Mungu awasimie katika ndoa yao, Amen.
Congratulations!!!!!!!
AM....
Grayce yes ndio mwenyewe,,amen
yaani mungu ni mwema hongera lisa kwa kupata mume mwenye upendo na wewe, anakujali naamini mabest ni yule mtu mwenye hofu na mungu , mwenyezi mungu awndelee kuwa tendea yaliyomema -- ambutterfly
Post a Comment