Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, May 29, 2017

Zari Na Mwili wa Ivan Ukiwasili Uganda!!!


Nimeona a couple of clips Zari na watoto aisee The bond she shares na watoto wake hicho ndio cha msingi na muhimu.
They Will get through this with flying colours because wana umoja na wanapendana na its like baba yao aliwatayarisha bila kujua maskini hawa watoto wako so strong ndio wanampa nguvu mama yao mzazi,Mungu awasimamie amen!

2 comments:

Anonymous said...

Mungu awape nguvu.
Wataachaje kuwa pamoja na huyo ndo mama yao. Ukifatilia ndugu wa pande zote 2 wanaishi Uganda.
Walioanana kwa nadra.

Anonymous said...

Sio wako Strong nadhani wana kubaki ana na kitu
Tutaishi na tutakufa.Misiba ya watoto ya wasomi na ya walokubali Mungu atatuchukua siku moja ndo hiyo.
Yawengine hapo khanga upande umelow kamasi na machozi. Mwone zari kiatu alivaa.
Kufa kufaana Mungu ametwaa.
Unakumbuka msiba wa mama Devota au dada yake alomletaga Sweden. Na kumbuka nilikuwa sijala Mia Tz . Watu walivaa na vikofia kaa matron.