Dah this one got me att The end pale mwisho wa hii clip Zari na watoto wa marehemu wanavyompa mama yao nguvu.,
3 comments:
Mischa
said...
Loosing a loved one ni pigo na inaumiza sana,there times huwa namuuliza Mungu y unatupa watu tuwapende halafu ukawachukua but i guess the cycle of life,i lost my father some years ago the pain never ends,namuonea huruma Zari na watoto i wish her a quick recovery for her and the family,ana watoto wakumshika mkono thats very comforting.

That is so sweet of them. Mungu aendelee kuwapa nguvu wasimame na mama yao.
kwa kweli imeniuma sana
aiseee kuondokewa na mpendwa wako inauma sana
nimeshindwa vumilia chozi limenitoka
Post a Comment