1. R.I.P Ivan wengi watakukumbuka kwa mengi na mazuri uliyowatendea 2. asante mwandishi kwa taarifa kumuhusu Ivan 3. uteuzi wa mheshimiwa mbona wa ghafla? 4. huyo paul kafanya nini da nuu mana hujaweka chochote nashindwa kujua? nimemgugo nimekuta ni mchezaji mpira, swali hizo nguo nyeupe alikuwa wapi na anafanya nini? 5. karibu sana bongo ya matatizo mr & mrs bekahamu(najua ukiandika ila yuko bongo lazma niandike kiswazi), msisahau kuwekeza nchini mwetu ila mkaongee na mheshimiwa kwanza
1 comment:
1. R.I.P Ivan wengi watakukumbuka kwa mengi na mazuri uliyowatendea
2. asante mwandishi kwa taarifa kumuhusu Ivan
3. uteuzi wa mheshimiwa mbona wa ghafla?
4. huyo paul kafanya nini da nuu mana hujaweka chochote nashindwa kujua? nimemgugo nimekuta ni mchezaji mpira,
swali hizo nguo nyeupe alikuwa wapi na anafanya nini?
5. karibu sana bongo ya matatizo mr & mrs bekahamu(najua ukiandika ila yuko bongo lazma niandike kiswazi), msisahau kuwekeza nchini mwetu ila mkaongee na mheshimiwa kwanza
Post a Comment