Man these kids are strong tena sana na mnavyoongelea vibaya huu msiba wakati hata hajazikwa mungu atadeal na nyie.
Kuna wakati vitu vikitokea jifunze kwa mwenzako nimeamini kuna baadhi ya Watanzania hamna utu, huruma na wala busara mpaka mnatia aibu.
9 comments:
Ulikuwa huwajui watz ??
Lakini kumbuka wa nacho ongea au kuandika ni mimi na wewe ndo tunakisoma wahusika wako busy msiba
Social media zimesaidia sana kujua watu walivyo.
Apumzike kwa amani.
Anon5.25 nawajua kwani hata mimi walinitungia mabaya ila ikAfika mda niliyaona ndio nikajua na kujifunza ja iko siku hawa watoto watayaona na nja ya muongo ni fupi na mwisho wa ubaya always ni aibu..
Comfort uko sahihi kabisa
Alafu ukiangalia ndo watanzania wako busy na maisha ya hawa watu..sijaona media za kiganda wanaongelea kiivyo
Yaan baada ya msiba huu kutokea kwa mara ya kwanza nimehisi aibu kuwa mtanzania tunatia aibu kwakwel yote hii ni sababu hatukuandaliwa vizur ktk matumizi ya mitandao ya kijamii kabla ya kuwa introduced.
Shame on us, shame shame
watu wameandika mengi sana ila kweli yasikie kwa mwezio. nachoshukuru wako pamoja na umoja sana Mungu aendelee kuwatia nguvu
yaani mpaka inaudhi kwa kweli hakuna cha maana tunachofanya kazi kufuatilia maisha ya watu. badala ya kufariji wafiwa wao ni kuwaongelea vibaya tu
bongo noma jmn
hatuna kazi zaid ya umbea tu
aiseee wabongo tumezidi,
Post a Comment