Finally thank God kuwa wanamsaidia huyu baba Dah.,
Yaani mpaka Leo hii Zitto hata mimi I Wonder tunakuwaje nchi masikini wakati tulijaaliwa kwa kila kitu.
4 comments:
Cute Olive
said...
jamani hii kamati ya miss tz ni jipu kama wameshindwa wawape watu wengine fursa.
Tumefurahi kuona mzee anapatiwa matibabu wako wengi tu waliotumikia Taifa tunaomba serikali iwaangalie wazee wetu
naanza hv 1. huwa naongea kila mara hapa kuwa wasanii wetu hawajui kufanya intaview mana ukiangalia utaona anajichanganya, yuda aache uongo, atulie amuombe Mungu ampe mume na amsafishe hiyo K (kama kweli inanuka) 2. hiyo kamati wawape watoto wa watu pesa zao waache udanganyifu, wamekula pesa wanatafuta pa kutokea 3. Zitto siamin kama umeyaongea haya, kweli sie ni wakubwa kuliko SA au Ghana!!!! wakati kwenye filamu wanatushinda, nanukuuu kwako da nuu kuwa time will tell, ngoja nikae kimya 4. kama kweli sie matajiri tumeshindwa kumpa kumuwezesha mzee aliyetengeneza nembo ya taifa mpk aaumwe ndio tunamsaidia, hiiiiiiiihhhii!!!!!!!!!!! pole mzee wetu Mungu atakuponya,
5. kwako da nuu tunakuwa masikini kwa sababu ya viongozi wetu ambao waliweka mbele pesa kuliko kuijenga nchi na ndio haohao matajiri wa leo hii nchin wanajifanya kuipenda nchi kinafiki kwa sababu ya raisi na si vingnevyo,
4 comments:
jamani hii kamati ya miss tz ni jipu kama wameshindwa wawape watu wengine fursa.
Tumefurahi kuona mzee anapatiwa matibabu wako wengi tu waliotumikia Taifa tunaomba serikali iwaangalie wazee wetu
Tunashukuru kwa matibabu ya mzee Ngosha wamsaidie na nyumba jamani anapoishi hapafai.
thats nice atleast wamesupport
naanza hv
1. huwa naongea kila mara hapa kuwa wasanii wetu hawajui kufanya intaview mana ukiangalia utaona anajichanganya, yuda aache uongo, atulie amuombe Mungu ampe mume na amsafishe hiyo K (kama kweli inanuka)
2. hiyo kamati wawape watoto wa watu pesa zao waache udanganyifu, wamekula pesa wanatafuta pa kutokea
3. Zitto siamin kama umeyaongea haya, kweli sie ni wakubwa kuliko SA au Ghana!!!! wakati kwenye filamu wanatushinda, nanukuuu kwako da nuu kuwa time will tell, ngoja nikae kimya
4. kama kweli sie matajiri tumeshindwa kumpa kumuwezesha mzee aliyetengeneza nembo ya taifa mpk aaumwe ndio tunamsaidia, hiiiiiiiihhhii!!!!!!!!!!! pole mzee wetu Mungu atakuponya,

Post a Comment