Huu ni mtihani mkubwa kwa Zari na watoto wake kwani bado walikuwa wanamuhitaji sana baba yao especially at this crucial age as teenagers aisee anyhow ni kazi ya mungu na Ivan upumzike kwa amani,Rip!!!
5 comments:
Cute Olive
said...
Lala salama Ivan mbele yako nyuma yetu. pole Zari na familia nzima Mungu awape wepesi kipindi hiki
5 comments:
Lala salama Ivan mbele yako nyuma yetu. pole Zari na familia nzima Mungu awape wepesi kipindi hiki
goodnes...gosh zari na wale watoto Mungu wangu!!!! Mungu ampe nguvu na hekima kwa wale watoto....I am terribly sorry
RIP IVAN
Inna lilah wainna ilayh rajiuun!mwamini
kwa kweli ni majonzi sana kuondokewa na mpendwa wako
Zari na watt Mungu awape faraja kipindi hiki kigumu kwenu
R.I.P Ivan
Post a Comment