Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, April 6, 2017

WHEN YOU FIND YOUR DREAM STANDING RIGHT INFRONT OF YOU!!!Tanzania ni nchi nzuri na yenye ardhi na maandar nzuri.
Nadhan kwenye swala la kununua shamba au kiwanja au viwanja ni kitu nimeshawakumbushia sana na kuwahamasisha vya kutosha kwahiyo sina haja ya kufanya hivyo tena kwani mnaona na kushuhudia through mimi na wengine wengi.
Bakhresa ana ardhi au kanunua ardhi mashallah ila yeye ana uwezo mkubwa but non the less Bakhresa ameanza chini sana mpaka kufikia hapo alipo na bado hajaridhika Bali bado ana invest nchini na kuteka soko by soko.
Nilisema nitaanza na kimoja which i did miaka kadhaa nyuma Bali nikasema kwanini ni stop here kwani ardhi huwa haishuki thamani Bali hupanda.
Nimeanza KUGUNDUA kuwa kuna watu wanaingia humu ila hawasomi au hawaelewi ninachoandika but that is not my problem kwani kila kitu ni perception nikimaanisha sio kila mtu ataelewa maana wengine wana yao kichwani na moyoni.
Sio kila aloenda shule means kaelimika kwani wengine walikuwa hata madftari hawabebi.
INLIFE tutakutana na watu wazuri na wa ajabu, tutakutana na wataotushika mkono na wale watakaotaka uangamie.
Wengine walikuwa wanasubiri udhalilike ila kila kukicha wanaona unazidi kuwa na maarifa na kuwa na maendeleo sasa unategemea watafurahia?
Nilimsaidia mtu akaja kunipa ahsante a year after wakati nilishasahau sasa kama hakuona umuhimu then why imekuwa important all of a sudden so you see hivi ni vitu tunapitia tu na KUTUFUNZA kwa ajili ya kesho.
Kuna watu leo hii wanaandika maneno mazuri mitandaoni na mnayasoma na kuwaadmire ila hao hao watu damu yao hawajui wamekula nini saa hii.
Kuna mtu hajampa mama yake buku tu wakati anaspend laki 5 kwa watu baki so you see sisi wanadamu kila mtu anapriority zake so usidhani hata ukimuonyesha maarifa atayapokea kwani kwa sasa hayuko tayari.
Kama Dullayo anavyosemaga Nuru haters motivates us mimi huwa namjibu hapana mimi wanaonimotivate ni waliofanikiwa na wale wanaoamka kila siku kutafuta Chao kwa jasho lao kwaajili ya wao na familia zao,Nimemaliza.com!!

10 comments:

Anonymous said...

Hongera Nuru am proud of you

Totoo said...

Nuru u always motivates me. Ni kweli tunatakiwa kuwa motivated na wenye maendeleo.

Anonymous said...

You are inspirational and hard working the light

Anonymous said...

Hata haya tunapaswa kuyasifia mwangaza

Anonymous said...

Nuru you rock and i like your lifestyle

Bintinyota said...

Tusukume tu Dada, tutafika huko pia

Anonymous said...

Asante sana Nuru mimi kwa kweli unanimotivate sana yaani tangu ulipozungumza kuhusu swala la kuinvest kwenye ardhi ni kama uliniamsha kutoka usingizini. Mungu akujalie kwa hilo maana nimeanza kufata nyayo nimeshanunua kiwanja medium density, kesho nakwenda kulipia shamba heka kumi.

Anonymous said...

You are a good rolemodel kwa mtu yoyote basi tu watu wanapenda kuwapaisha ma Bashite jua hilo tuko tunaokuelewa na tunakupenda

NURU THE LIGHT said...

Thank you all kwani nitaelendea kuwa me and inspire others through me..,
Nitaelendea kukemea vibaya na kusifia vyema,tuko pamojah 😙 😙 😙

NURU THE LIGHT said...

Anon wa 10.15 heka kumi umetishaaa mbuta nangaaaaa!!!