Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, April 6, 2017

HE SAID SEEK AND YOU SHALL FIND SIMPLY BECAUSE NOTHING IS FOR FREE!!!

Bila kujaribu huwezi kusema haiwezekani.
Bila kuthubutu huwezi kusema haiwezekani.
Bila nia kuwepo na wewe kutenda huwezi kusema haiwezekani.
Bila kuwa jasiri na kuwa na subra huwezi kusema haiwezekani.
Bila kuwa consistent,disciplined na msimamo hauwezi sema haiwezekani.
Bila kuwa na imani,hope na kuwa tayari kisaikolojia hauwezi sema haiwezekani.

Neno haiwezekani ni la Wavivu au watu waliokata TAMAA.
Neno haiwezekani ni faraja kwa wenye chuki kwani wao walishajiamulia kuwa haiwezekani.
Neno haiwezekani ni kwawale walijaribu na kufeli na kukata tamaa baadae kwani walipaswa kujaribu tena au inawezekana kuwa hawakuwa na elimu nacho au the timing haikuwa sahihi.
Neno haiwezekani ni kwa wale watu amber wanaridhika upesi sana kwenye maisha yao.

Kwenye maisha yenu watu waliowazunguka ni wengi sana so kama wewe utafuata wale wa haiwezekani basi naam nawewe utakuwa kundini lakini ukiamua kuchukua njia yako mwenyewe kwa kile unaamini kinawezekana basi utafanikiwa.
Sio kwamba kuwa tajiri na hela nyingi ndio maana ya mafanikio kwani mafanikio yana sura nyingi sana hicho ni kitu mnatakiwa muelewe na mkielewa hilo basi formula ya maisha haitowasumbua at all.
Mfano Kuwezekana inaweza kuwa mtu aliacha shule udogoni but akarudi ukubwani kwani ukubwani ndio alikuwa tayari kusoma.
So wakati unalitizama neno Haiwezekani lijadili,litizame kwa jicho la tatu na liulize maswali kuwa je kwanini Haiwezekani na ukishapata jibu anza kulifanyia kazi,Nimemaliza.com!!

6 comments:

mwanitto said...

nimejifunza kitu Nuru kupitia hii post yako kwame siwezi tamka hilo neno tena.

mwanitto said...

nimejifunza kitu kupitia hiyo post.

Bintinyota said...

Asante sana Nuru. Umenigusaa!!
Hakuna kitu sipendi kama
Siwezi
Haiwezekani
Ngumu sana
Mbali sana huko
Sina hiyo Capital

Jamani sasa utaokota?
Mbali utaruka?
Ukitia maji hailainiki?
Umejaribu ukashindwa Mara ngapi?
Kwa mini huwezi?

Be Positive to anything comes your way.

Be Positive to any situation you face.

Be Positive. Positive. Positive.
For success and for healthy living.

Mpz Wangu always huniambia wewe unachikulia simple kila kitu.
Yaani ukishaongea dakika moja uko OK utafikiri hukukasirika!! Mimi siwez kubadirika one minute like you.
Nahitaji muda kidogo. OK I go.

Sasa hivi anajifunza kuishi kama Mimi. Maana kaambiwa akiendekeza stress atasababisha matatizo makubwa zaidi kiafya. Mengine yameshaanza.

Yaani hakuna Mr. Negative kama yeye. But only issue ikimhusu. Ikikuhusu wewe atakupa all support you need!!
Yeye kwake kila kitu impossible!!!

Sasa anakubaliana na Mimi.
Kila kitu ni Uthubutu, Juhudi, Maarifa!!
Kimaisha ya nadharia, pendelea kuwa muwazi, na kusamehe. Utaishi kwa Amani Kubwa sana.

Bintinyota said...

Katika vitendo.
Pendelea kuthubutu, juhudi na kujikubalisha utafika.
Haramu kukata tamaa

NURU THE LIGHT said...

Thank you Bintinyota maneno mazuri sana umenikuna
Mwanitto you are so welcome na tuko pamojah
Sasa ningeomba nijibu koment moja sijairusha ili tuwe sawa
Cha kwanza nimejua ww ni msomaji wangu wakitambo so kama unakerekeka why u still in here,jiulize jijibu
Kingine umeenda shule Bali hujaelimika wewe ndio wale nimewaongelea post ya chini ya hii ndiomaana ukakascreen na kuniandikia gazeti kwani nimekugusa.
Kingine huwajui 98% ya marafiki zangu unawajua uliwaona humu so dont talk about them au use them kama mfano kwani hao ulowataja wamewezeshwa mimi najiwezesha so have a seat na jua kutofautisha while sitting down.
Cha mwisho USITAKE nifanananisha na watu ambao hawanifikii hata nusu ya Who i am kama Nuru.
Nilisema juzi it is all about perception na walioko tayari wataupokea ujumbe bcoz wako tayari na hao ndio nita concetrate nao because they matter and are WILLING.

Anonymous said...

The light tulio willing tupo sasa piga keleeeeleee