I can't believe....gosh nimekesha kutazama ccn nilivyoona anachukua states nyingi sikuamiani Inamaana wengi marekani ni ma recist au ma snitch, walikuwa wanamhekea Clinton lakini hawakumtaka. Si kwa ushindi huu Dah,, ngoja tuone wanaoishi us bila makaratasi.... Mtazamo tu. AM.....
Wa Tanzania tujifunze, Sio kung'ang'ania CCM...huyu Trump kashinda hata hajawahi kuwa mwanasiasa.... Nasisi tuje test mabadiriko. Wengine tangu tunazaliwa tunakuta CCM mpaka leo uko kwenye 30s bado CCM... 👺 AM.....
5 comments:
Its jus sad and depressing
I can't believe....gosh nimekesha kutazama ccn nilivyoona anachukua states nyingi sikuamiani
Inamaana wengi marekani ni ma recist au ma snitch, walikuwa wanamhekea Clinton lakini hawakumtaka. Si kwa ushindi huu
Dah,, ngoja tuone wanaoishi us bila makaratasi.... Mtazamo tu.
AM.....
Wa Tanzania tujifunze, Sio kung'ang'ania CCM...huyu Trump kashinda hata hajawahi kuwa mwanasiasa....
Nasisi tuje test mabadiriko. Wengine tangu tunazaliwa tunakuta CCM mpaka leo uko kwenye 30s bado CCM... 👺
AM.....
Subhana'allah
So sad... tusome alama za nyakati jamani. Eeh M. Mungu tusaidie.
Post a Comment