Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, November 9, 2016

AM WILLING TO OPEN MY HEART TO YOU IF YOU PROMISE TO NOT LET ME DOWN!!!
 KINYUMBANI ZAIDI,,


HALI IMEKUWA MBAYA TOKEA JANA INASHUKA TUUU,,
 TO THINK WE WALKED LIKE THIS NOT SO LONG AGO,,,
WENYEWE TULIKUWA TUNAJIFARAGUA HAHAHAH SASA NI KUNYOOSHWA TYUU!!

5 comments:

happie said...

Jaman poleni...hiyo hali ya hewa siyo ya mchezo...dah hicho kivazi kimenitoma mate..

Anonymous said...

Duh poleni sana, napenda baridi ila sio kwa kiwango cha barafu kwa kweli. Winnie

Bintinyota said...

Yaani hapo uwa mbele nakuogopa nakosa jamani. Mungu mwacheni aitwe Mungu

NURU THE LIGHT said...

Na bado huu ni mwanzo tu itanyesha sana Winnie
Hahahhahahahah Happie

SUZANA ANORD said...

DA NUU USINISAHAU MGAO UJAO