Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, November 9, 2016

THE BEGINNING OF AN END AND HATE DID JUST THAT,IT PREVAILED AND WON!!!Weusi didnt VOTE baada ya kuangalia results The White America went out and VOTE tena with A bang...
Tarehe 21  januari 2017 historia iliyotabiriwa Itaanza!!

7 comments:

Anonymous said...

Nuru even if weusi wote wangevote the percentage ya weusi marekani is only 15.it wouldn't do much different. He won big time surprisingly.this is sad news to black people in America and a lot more

NURU THE LIGHT said...

Blacks and Latinos needed to VOTE this election more than ever,,
Latinos didnt VOTE not as much Weusi ndio kabisaaaa hawakupiga kura za Hillary ni kutoka kwa whites wasiomtaka Trump na wanawake waliotaka kuona rais mwanamke
Jamani their votes were needed na zingemake a difference trust me,,
Weupe waliamua mwaka huu mtu ana miaka 30 hajawahi kuvote ila leo kampigia kura Trump what does that tell you,,
This is sad News to alot of people tena hao weusi wanaoshangilia ndio siwaelewi kabisa kwani Dunia itabadilika siku huyu mbwa akiingia madarakani,,,then tutaona nani anacheka aisee I pray for the world this is a sad day na sitoisahau mpaka sasa bado siamini

Bintinyota said...

Me achemi kitu apa

jidee said...

Nuru wewe unaonaga mbali sana. Tuombe Mungu maana....

NURU THE LIGHT said...

Sometimes mungu hutubeba bali tunamuangusha leo katupa akili na kila kitu na bado watu wanafanya ujinga wa kutokwenda kupiga kura?
nimekuelewa Jidee yaani nimeishiwa nguvu,,

SUZANA ANORD said...

yani m nilivyoona kwa al-jaazera ndio nikaishiwa nguvu,
afu m nilijua tu kuwa huyu baba atachukua mana most of US pipo n white na hawatupendi hata kdg n wachache sana wenye utu, we cheki hata awards zao wanapeana tu mweusi kupewa mpk aombewe na ukoo wake wote,
ila si walisema tutaisoma namba naona imeingia mpk marekani
wacha tuone muvi
ubaguzi is coming back for really and openly.

Mwahhy said...

Tulichoshindwa kuelewa ni kwamba, baba T yote aliyokuwa akiyazungumza ndo ya wamerikan weupe weng wanayosema na kutaman na ndo maana kashinda.. Tusubr tuone anawezekana asiwe mbaya kama tumzaniavyo tho nimeumia