KESHO NTAJIFIKIRIA KAMA NTABLOG MAANA NNA HUZUNI TOKEA HUYU BABA T KUSHINDA UCHAGUZI naona kama bado ni ndoto ntaamshwa niambiwe nilikuwa naota,,
Sometimes kuona mbali pia ni mzigo na nayaona mengi na sio mazuri,..
Unaambiwa uwe positive when times are hard but this imeonyesha kabisa ishara ya chuki kuwa imetawala na ubaguzi.
Kinachonishangaza mimi ni pale Muafrika anamshadadia mtu ambaye anayekuchukia inanionyesha kuwa Weusi bado kuwa mna safari ndefu sana as A Nation na kama A race ni bado hamjitambui wala kujipenda kujua thamani yenu duniani ndiomaana Mungu katubariki na kila kitu ila bado BARA lenye shida nyingi ni AFRICA,,
Naam weupe in USA wameongea maana walijisahau OBAMA akashinda mpaka hiko kitu kitokee tena sijui ni lini maana the next election watakuja mambumbumbu kuliko Donald aisee acha niongee na Mungu wangu kwani alot of people wataumia na mnaofurahi mnashau kuna wengine ndio wanawategemea hao waliopo nje sasa leo wataanza wapi, kiukweli huu ni msiba na hakuna mwili wa kuuzika just tumebaki na hali halisi kuwa Hate Prevails and racism Era has began kwani hata Europe vyama vya ubaguzi ndio vinalead,Am out!!!
16 comments:
Chai imegoma kushuka leo...CinTea
Umependeza sana.
da nuu naona umepata eneo jipya la kupiga picha, hongera
and u luk gud and place s nice pametulia
Kweli imewauma wengi hili ni tatizo mmmmh am so sad...
kwa wakati huu hata mimi nahitaji kuongea na Mungu Nuru...dah
Hakuna jinsi Nuru ni kuomba Mungu afanye muujiza wa kubadilisha moyo wa huyo mtu. Nimependa koti lako ila sema nini mi kibonge bwana. Winnie
ma'mdogo Nuuu,
mbona umeweka captions kwa tarehe ya November 13,2016 ambayo hatujaifikia?
not a big deal but thought I just alert you.
Plenty of hugs
Boston Ma'mdogo
wow wow wow in robert mgabe jokes lol! sikku zinavyoenda ndo unazidi kupendeza nuru am in love with your sytle mama, its sassy na uzuri wako unachangia -- am butterfly
Tuseme Alhamdulillah, Mungu ashukuriwe yeye ndiye muweza WA yote
yaani nilirukia kuona picha na sikusoma kabisa maandishi, nuru mi nipo home tz sina nayemtegemea huko nje, ila roho imeniuma balaa sijafurahi sijataka hata jokes yaani ni kama vile naona matokea yatabadilishwa mwe mungu atusimamie maana huku tunaisoma number tayari huko sijui itakuwaje tuombe yawe yalikuwa ni maneno tu ya kampeni - ambutterfly
Word!!! 👌
Yani Nuru kuusu uko USA wee wala usiongee maana mimi leo siku ya pili ata CCN sitaki kutazama, naona kama naota..
Sisi wa Africa roho zetu ni Mungu pekee ndio anajuwa... We are fucked!!!i in Chris Brown's voice.... Word!!!! 🙌🏾
Back to our life, ilo Boot Damn Sii la ki spoti spoti 😍
H&M long time No see each other see you soon!!!!!
Nuru you look so good , you are beautiful , everything Mwake Mummy....
AM...
MwenyeziMungu Alete kheir InshaAllah Amin.!
Duh waafrika walioko us wanahitaji maombi yetu...mwamini
Nuru unatumia kamera gani kupiga picha zako...mazingira unayopigia picha ni mazuri sana
Nuru get over uchaguz bhna, muagize ndugu yako aende halmashauri temeke akakuchukulie form kuna viwanja vinauzwa hii na wadau wengn jmn, kuepuka matapel nenda mwenyw ofc za wilaya.. #Teamardhi
Ok bye
looking fab as always ... sehemu nzuri sana pia aiseeee so perfect .... naomba kujua ni camera gani unatumia nuru
Ahsante Mwahhy kwa the Tip,,team ardhi
About the CAMERA najibu bdae maana si kamera tu the Lense pia ina matter
Ahsanteni wapendwa 😚
Post a Comment