Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, October 16, 2016

THE TRUTH SHALL SET YOU FREE HE SAID AND I ANSWERED INDEED IT DOES,TODAY!S!!!
Skirt;Bik Bok
Top;Monki
Bag;ZZ
Shoes;Asos
Earrings;Vintage
Crochet Braids
Photographer;MacGregor

11 comments:

Anonymous said...

umependeza sana Nuru miguu sasa

Anonymous said...

umependeza sana Nuru miguu sasa

gtie barbie said...

bas mororo

anonymus said...

Guu la bierre ndio hilo wastani...mwamini

NURU THE LIGHT said...

Mguu wa coca cola chupa ya lita mbili hahahhahahha😘😘

Anonymous said...

luv luv the shoes!!

Anonymous said...

My truth shall set me free nimepatwa na donge kwanza viatu hivyo siwezi kuvaa tena nabakia kuviangalia kwenye shoe rack na vingine kugawa, pili kasketi hako ndio hata sithubutu ninajichura huku niliko naweza kukatiza nako ila sithubutu bongo kariakoo wangeni scorpio. Umependeza sana mdada...CinTea

Tabi said...

Umependeza Nuru,hiyo skirt nimeipenda mno,ila viatu mweeh itabidi siku moja unipe somo jinsi ya kutembelea high hills ��

NURU THE LIGHT said...

High hills vaa ndani vikiwa VIPYA anza kutembea,kufanya usafi ila tizama usiharibu your flor na kucheza navyo but ss hivi kuna high heels za kila aina very comfortable na non comfortable so nunua viatu utavyoweza kuvitembelea mm siku hizi nanunua nnavyoweza sio zamani but ni mtihani ila ukishapatia vile unaviweza kuna raha yake maana unaweza jikuta mwili na miguu haina ushirikiano,,
Cintea hahahhahahahah chura aaaaaaaaaa anakupa shida go for pencil skirt utapendeza na still chura atakuwa introduced VYEMA au a flare one japo FUPI but itakukaa
Kkoo washenz tu wale wanaofanya hivyo ss vaa halaf Tembea na ulinzi uone km watakusogelea waoga,,
Buy heels that works for you,,
Thank you all,,

Bintinyota said...

Masha'Allah nice legs, na unajijulia

Tabi said...

Asante Nuru nitajaribu