Rangi ya mdomo imeblendisha rangi zoote zikakaa vema, na rangi yako ya ganda la chungwa la ulaya maana ya nyumbani ya kijani inaleta mwangaza wenye nuru halisi ya kuvutia...CinTea
Cinnamon tea ahsante kwa poem zuri shoga hahahahah,, Tsn Photographer hapendi picha nishamvizia wapiiiiii ila iko siku but kwenye sekta yake hes good ahsanteni wapendwa much love,,
Nahisi ulikosea maana hii mpya si ile ya zamani uloniandikia zile nne za mwanzo usijali we will fix this maana alipanic maskini..no problema ss nimepata digits!
25 comments:
Nuru leo umependeza sana umenoga shosti
Awwww.... umependeza mno Nuru hiyo rangi ya gauni imetuliaa haina makelele
Looking good sister ila lipstick kama haijanibariki hiviii, mtazamo tu girl. Winnie
Dat ka dress, that colour give me life...ur so msupa leo Nuyu
I want to be loved mweeeh!mwamini
Umepungua vzr shosti... SM
Ahsante SM bado nitoe kilo 2 bhaaaaaaas,,
Mwahy shukran,,
Hahaha Winnie naitest nione ahsante
Thank u Tabi,,
Nishapata mshono wa kitenge changu.umependeza sana.
Hahahhahahahah sawa Comfort mzigo wako before monday uubebe kazini❤
Marogooooo
Naombea kumjua photographer, haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Umependeza sana sana...TSN
Rangi ya mdomo imeblendisha rangi zoote zikakaa vema, na rangi yako ya ganda la chungwa la ulaya maana ya nyumbani ya kijani inaleta mwangaza wenye nuru halisi ya kuvutia...CinTea
Cinnamon tea ahsante kwa poem zuri shoga hahahahah,,
Tsn Photographer hapendi picha nishamvizia wapiiiiii ila iko siku but kwenye sekta yake hes good ahsanteni wapendwa much love,,
Asante sana Nuru Mungu akuzidishie ulipotoa mpnz.
Nahic mzigo ushaupata Comfort๐๐๐
Bado dear haujafika.
Comfort ndugu yangu amekupigia simu mno na msg kukutumia haujajibu ili aweze kukupatia mbona hujajibu mpaka mda hii mpenzi?
Whatsup inapatikana pia
Leo nipo nyumbani tu akipiga nitaufuata nisimsumbue sana.
Nahisi ulikosea maana hii mpya si ile ya zamani uloniandikia zile nne za mwanzo usijali we will fix this maana alipanic maskini..no problema ss nimepata digits!
Pole sana siunajua tena simu za touch hizi vidole sometimes vinakuwa na matege badala ya kuandika A unaandika Q hahaaaa.
Nuru ameshanipigia Muna
Elegance!!! umependeza sanaaaaa
Nuru nimepata mzigo asante sana Mwenyezi Mungu akubariki.
Yes nimepata habari am happy ahsante n the same to you enjoy,,
Thank you Tania๐๐๐
Post a Comment