Nuru nice dress code...the colour comb is perfect..shoe game on point.. upigaji picha wako wa siku hivi naupenda unachagua mazingira mazuri yanakuwa kama accessories pia...keep it up.
Nguo na rangi vimekutoa mwake kama kawaida, nguo ambazo si pana sana zinakupendeza zaidi na kuonyesha uumbaji Maulana alipotumia ufundi wake wote kwako. Ila kaujumbe kalikoambatana na picha sijui ndio tuseme hongera au veepee? bado natafakari kabla sijadandia treni kwa mbele Lol...CinTea
Maisha omba bahati sio uzuri Tafsir mnaijua ya hรฌi handbag???zarithebossladyWhen a woman's handbag is stolen it's like your 'world' has been taken away from you... am literally stripped of everything. Cellphones, bank cards most importantly your ID. I hold no grudge on these thugs, I've prayed and handed them to God 'coz life still gotta go on
Halelujaaaaaaaah my AM karudi aisee umeona mengi baridi si mchezoo kama akili haijaamka na hii baridi ndio basi tena welcome back mpenzi sasa hivi tumekuwa na familia kubwa kina Tabi,Bintinyota,comfort,Winnie,Cintea,Sandy,Winnieliscious,Mwahy,graycie na wengine wapya rahaaaa tele๐๐๐๐
AM asante kwa kutukaribisha kwenye familia nasi tunakupenda pia. Tulikuwepo ila tulikuwa hatuna id imebidi kila mtu ajichagulie yake. Mie natumia tea no sugar (TNS) niko kwenye vita against manyama uzembe hahahahhahahah...TNS
20 comments:
Umependeza sana Nuru,kuanzia kichwani hadi miguuni,hiyo sketi nimeipenda mnoo.. beautiful
Nuru nice dress code...the colour comb is perfect..shoe game on point.. upigaji picha wako wa siku hivi naupenda unachagua mazingira mazuri yanakuwa kama accessories pia...keep it up.
Loving the shoes Girl.....Umependeza Sana
T
That skirt is killing me.
Andejhaa..!mwamini
Toka uvumbue hii location basi shidaaa.
Picture very good quality
Umependeza sana
The light in my fav colors.
Looking Sexy
Nguo na rangi vimekutoa mwake kama kawaida, nguo ambazo si pana sana zinakupendeza zaidi na kuonyesha uumbaji Maulana alipotumia ufundi wake wote kwako. Ila kaujumbe kalikoambatana na picha sijui ndio tuseme hongera au veepee? bado natafakari kabla sijadandia treni kwa mbele Lol...CinTea
Ahsanteni wapendwa๐๐๐๐
Maisha omba bahati sio uzuri Tafsir mnaijua ya hรฌi handbag???zarithebossladyWhen a woman's handbag is stolen it's like your 'world' has been taken away from you... am literally stripped of everything. Cellphones, bank cards most importantly your ID. I hold no grudge on these thugs, I've prayed and handed them to God 'coz life still gotta go on
Pendeza sana Nuru kila kitu onpoint. mi napenda viatu sana kiatu kizuri mno
beautiful you..๐๐
The Light......umependeza sana Mummy...๐๐ฝ
am back nilimisije kucheka ilikuwa long holiday ... Nimelikuta baridi limechanganya, kha!!!
AM...
Halelujaaaaaaaah my AM karudi aisee umeona mengi baridi si mchezoo kama akili haijaamka na hii baridi ndio basi tena welcome back mpenzi sasa hivi tumekuwa na familia kubwa kina Tabi,Bintinyota,comfort,Winnie,Cintea,Sandy,Winnieliscious,Mwahy,graycie na wengine wapya rahaaaa tele๐๐๐๐
We Thank God, familia imeongezeka, rahaaaaa mwanzo mwishoo, nawapenda wote wanafamilia. ๐ ๐ Mungu azidi kutuongoza.
AM...
Nuru tudadavulie skirt umenunua wapi ni taaaaamu
da nuu mi naomba mgao wa viatu mana hata kama havitanitosha nitavaa tu
Suzana unavaa size gani na uko wapi?
Anon information za sketi zipo kwa post tayari duka la MQ liko Sweden

Post a Comment