Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, September 26, 2016

WHEN THE STORM IS OVER AND THE ENEMY IS OUT OF SIGHT,THAT IS WHEN THINGS FALLS INTO PLACES!!!

 Ni mwendo wa Squats,Squats,Squats.com

 Ahh Nuru a.K.a Tege.com,,

Keep smiling,keep shining,knowing you can always count on me,for sure,thats what friends are for!!

Sometimes unaweza jikuta unakumbwa na vitu Vibaya halafu huelewi kwanini,,
Sometimes unaweza jikuta unapata majanga bila kuelewa kwanini kwani unajiona uko njia sahihi
Sometimes unaweza ukajikuta unakumbwa na mabalaa bila kuelewa kwanini na kumuuliza mungu Why me?
Actually at times unakumbwa na vitu by being na watu wasio sahihi,,
At times unakumbwa na misukosuko na matatizo kwa ajili ya watu waliokuzunguka,,
At times unakuwa na watu wenye nuksi na sorry to say wanagubu,,
At times uko na watu wasiokutakia mema SASA hao hawatokuonyesha njia sahihi bali watakupoteza
At times watakuja watu ambao wanataka kitu kwako ila wao huchukua tu na si kutoa,,
At times watakuja watu na mikosi yao na kukuachia wewe huku ukiibeba bila kujua,,
Una watu maishani mwako at this moment ambao huna manufaa nao ila wao wananufaika kwako,,
Una watu maishani mwako leo hii wanaokutumia maybe hata bila wewe kujua ukidhania unapendwa
Una watu maishani mwako mda huu wanaosubiri uanguke na wakucheke wakati mmekaa meza moja HUKU MKISHARE sahani moja ya ugali na mboga mboga,,
Una watu maishani mwako dakika hii wanaopanga mikakati ya kuharibu maisha yako bila wewe kujua ukidhani ni watu wako wa karibu na kuwapa majina kama rafiki,mpenzi au even a family member,,
Maishani utapitia mengi na kukutana na wengi ila jaribu kuwasoma waliokuzunguka na kuwatizama je huyu ni mtu sahihi kwangu,je huyu ananitakia mazuri kwangu,je huyu atanibeba nikianguka.je huyu atanistiri siku namuhitaji na je huyu atasimama kweli na mimi no matter what au je atanigeuka kama Yuda?
Kumbuka kwamba Dunia hii kuna watu ambao hawana shukrani hata uwape nini au uwatendee nini kwani hiyo ni nature yao MEANING msema uwongo hawezi kusema au kukupa Ukweli.
Cha msingi kama una roho ya kutoa wewe tenda wema na uende zako kwani mtoa Barka ni Maulana na sio Mwanadamu na angekuwa mwanadamu mtoaji basi nusu ya dunia leo hii tusingekuwepo nadhan Ntakuwa Nimemaliza.com!!!

7 comments:

Anonymous said...

Amen...CinTea

Anonymous said...

Mamae we mzuri

Tabi said...

Nuru asante kwa hii post,imenipa moyo sana..."mtoa Barka ni Maulana na sio Mwanadamu" Ubarikiwe Sana.

Anonymous said...

Body on fleek You look great Nuru

anonymus said...

Mh unakwiva mwali wewe.maneno kuntu!mwamini

Anonymous said...

Una akili,mkarimu,mzuri na very talented kwanini nisikupende love you Nuruthelight

NURU THE LIGHT said...

Ur welcome Tabi na wewe pia mpendwa
Love you back 😚
Mwamini na Cintea mko juuu