Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, September 9, 2016

GREAT WEATHER FOR A WALK IN THE PARK WITH MR SAM!!!























LEO ALIKUWA KAFURAHI YAANI ACHENI MUNGU AITWE MUNGU,,
KUNA SIKU NLIKUWA NAMUHADITHIA MTU KUHUSU BABA YANGU KUUMWA AKANIJIBU KWANI HILI SI TULISHALIONGELEA AS IF HALIKUWA NA MAANA,,
KUNA VITU UKIKUMBUKA UNASEMA TU AHSANTE MUNGU KWA KUNIFUMBUA MACHO MAANA HISTORIA YA MWENZAKO INAWEZEKANA KUWA YAKO PIA CHA MSINGI UKIONA KITU KISICHO SAHIHI CHUKUA HATUA MAPEMA,,
HAKIKA HII NI SAFARI ILIYOANZA FEBRUARI MWAKA HUU NA MPAKA SASA TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KUTUPA MOYO,NGUVU NA PIA KUTUTENDEA MIUJIZA KWANI MBAYA NA MZURI WAKO HUMJUA PALE UNAPOPATA MATATIZO..
KUNA WAKTI USISUBIRI YAKUKUTE NA WEWE KAMA YALIMTOKEA ALIYE KARIBU NA WEWE,,
MAUMIVU YA MTU MWENGINE UNAWEZA EPUKANA NAYO JUST BY KUJIFUNZA  PAKE ALIPOKOSEA YEYE,,
KAMWE USIONGEE KAULI AH HILO HALIWEZI NITOKEA MIMI,JE KWANI KESHO UNAIJUA?
KILA SIKU NAWAAMBIA KUWA MITIHANI HUJA KUTUFUNZA LAKIN KAMA HUTOKUBALI KUKUBALI KOSA NA KUTIZAMA MBELE BASI UTABAKI KUWA HAPO HAPO NA KURUDIA YALE YALE,NIMEMALIZA.COM!!!

No comments: