Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, April 7, 2010

JENN BASH STRIKES AGAIN!!!!
















7 comments:

Anonymous said...

Haya wenye roho za korosho anzeni ujinga basi tena. Jen you look hot my dear. Nuru keep up the good work. Wewe nuru una roho nzuri sana sio kama watu wengine hawapendi kusifia wakiona mtu wengine kapendeza.

NURU THE LIGHT said...

ahsante mdau jenn kapendeza sana n i love her...,na ahsante kwa kunotice hicho n ntaendelea kuwa na roho hii hii mungu alonipa ameen..,

Anonymous said...

hivii, huwaga watu wanakutumia hizi picha? i ain't hating, im just curious.

medusa

NURU THE LIGHT said...

if u wanna send me a pic just do so...,sina tatizo kabisaaaa ila when i see a picture and i like it huwa namuomba mtu mwenye picha maana kumuuliza mtu ni principle yangu and then voila here it is...,there u have it medusa..,cool name by the way

Anonymous said...

Jenn unawakaaaaaaa....full kupendeza kama kawaida yako. Wakilisha...fun wako toka upo kwenye miss Tz.

Neema.

Anonymous said...

Nuru naomba uweke hii comment. Jamani kama hupendi mtu au unaona anakuzidi kitu kumponda kwenye hii blog haihuuuuuuuu kabisa yaani unapoteza muda wako. Halafu wewe ndio unaumia yeye ndio kwanza anazidi kuwa juu. Sisi wote ni mademu hivi hatuwezi kusema ukweli kama mtu kapendeza. Lazima kutakuwa na mtu mzuri,mrefu,smart zaidi yako hapa duniani so the sooner you accept that the better for u.

Disminder orig baby said...

Very cute.