Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, April 7, 2010

KUNA MDAU KANIANDIKIA HII COMMENT NA IMENITOUCH SANA COZ THE MADNESS HAS TO STOP!!!

Nuru naomba uweke hii comment. Jamani kama hupendi mtu au unaona anakuzidi kitu kumponda kwenye hii blog haihuuuuuuuu kabisa yaani unapoteza muda wako. Halafu wewe ndio unaumia yeye ndio kwanza anazidi kuwa juu. Sisi wote ni mademu hivi hatuwezi kusema ukweli kama mtu kapendeza. Lazima kutakuwa na mtu mzuri,mrefu,smart zaidi yako hapa duniani so the sooner you accept that the better for u. AHSANTE SANA MDAU

HIVI SISI KAMA WANAWAKE WA KIAFRIKA NA KUTOKA TANZANIA TUTAENDELEA LINI KAMA KAZI YETU NDO HII TU KUENDEKEZA UJINGA NA KUHATE..MIMI NILIVYOAMUA KUFUNGUA BLOGI HII ILIKUWA KWASABABU YA KUWAPA CHANGAMOTO WANAWAKE WENZANGU BUT SOMETMES I WONDER KWAKWELI.MIMI NILIPOANZA NILIKUWA NIKITUKANWA SANA NA WANAONITUKANA NAWAJUA ILA SINA HAJA YA KUWARUSHA HAPA MAANA NTAKUWA NAWAPA FREE PROMO SO WASAHAU HICHO KABISAAAA MAANA NAJUA INAWAUMA KUWA HAWARUSHWI SURA ZAO.KUSEMWA NA KUTUKANWA KWASASA NIMESHAZOWEYA ILA HUWA NASKITIKA KUWA WATU WANATAKA MAMBO HAYO ZAIDI KULIKO MAMBO YA KUELIMISHWA AU YAKUJIENDELEZA WEWE MWENYEWE KIMAISHA.

MIMI KUWEKA PICHA ZA HARUSI YA RAFIKI YANGU DEVOTA SITAKI MACOMMENT YA MATUSI WALA KUSIMANGA KAMA UGOMVI ITS BETWEEN HER AND HAYO SISI HAYATUHUSU..,REMEMBER KUWA WEWE UNGEKUWA NA SHEREHE UNGEPENDA KUWA UNASHEREHEKEA SIKU YAKO AND NOTHING ELSE..,

NA KWANINI TUNATAKA NA KUPENDA KUENTERTAIN VITU KAMA HIVYO I MEAN TAKE FOR EXAMPLE NILIMWEKA FLAVIANA MATATA WHO IS DOING GREAT AND IS AN AMBASSADOR FOR OUR COUNTRY MTU ANATUKANA NA KUMPONDA..,WHYYYY?
UKIWEKA MTU WA KAWAIDA MTU AMBAYE KAPENDEZA NAYEYE MASKINI ANATUKANWA HIVOHIVO?
UKIWEKA BIASHARA ZA WATU NA ZENYEWE MNAPONDA ETI EEH HAO MARAFIKI ZAKO NDO MAANA SASA HAMTAKI BIASHARA ZAO ZIFANYIWE PROMO?
MTU AKICOMENT NA KUSIFIA WATU NA MAENDELEO MNAMSHAMBULIA NA KUMKATA MOYO..,HIVI SISI TUTAENDELA HIVI AS A NATION?
MIMI NIMEKULIA ULAYA NA NILIKUWA NAFIKIRI WATU WANGU WATANZANIA WENZANGU NI LOVING PEOLPE UNTIL I GREW UP AND LEARN THE HARD WAY NA NINASHUKURU RAFIKI ZANGU NA WAZAZI WANGU WAKANIFUNZA NA KUNIELIMISHA MENGI KUHUSU WALIMWENGU MAANA SOMETIMES WATANZANIA HUWA MNANISIKITISHA SANA NA KAMA WATU TUNGEKUWA SO WEAK NA HATUNA MOYO NA CONFIDENCE SIDHANI KAMA TUNGEENDELEA KUFANYA VITU MAANA MKO HODARI SANA KUKATA WATU MOYO..,

SIJASAHAU WADAU WALE AMBAO WANAPENDA KAZI NNAZOZIFANYA HAPA NURU THE LIGHT NA KUNIPA SUPPORT NAWASHUKURU SANA KWA KUNIPA LOVE NA NNATEGEMEA JAPO TUKO WACHACHE THAT ONE DAY WE WILL MAKE A DIFFERENCE.

20 comments:

Anonymous said...

Nuru my dear they do not know human spirit always grow stronger by conflict.Ukim-hate mtu ndio unamfanya stronger and I love that!!! If someone is cute and successfully they just need to accept and live with it otherwise they will soon realize hate is a inner soft killer.I wish wanawake wa Bongo wangekua wana-put effort ya majungu kwenye maendeleo mbona nchi ingekua mbali sanaa. Shame shame shame.Is it that hard for one to mind her own business real?!!!

Anonymous said...

Pole dear ila usife moyo nahisi kuna kaugomvi na wewe kama mwenye blogu haikuhusu. Daima usiweke matusi ya mtu huku kwani utakuwa umempa promo wataandika mwishowe watachoka na wataheshimu blogu yako. Watanzania hawapendi maendeleo ya mtu ndomana hatuendelei hiyo ndo hali halisi chuki zimetawala na wivu usio na maana yoyote but stand where ur my dear maneno ya watu, chuki zao zisikukoseshe raha. Good day

Interestedtips said...

Pole sana mamie, hadi umeandika hivi inaonekana umeumia sana, na umevumilia sana sasa imebidi useme. Wasamehe bure, maadamu tupo tunaokupenda na kukukubali, kila la heri

Anonymous said...

wewe said nuru am so glad umesema.how do pipo entertain uzinga.ikiuona mtu ka comment matusi pliz usiweke kabisa.hanaetaka tukana wenzao wafungue nao blog zao.it's not fair For flavian devota or TK.nakufagilia sana

Anonymous said...

nuru unapenda sanaaa maendeleo ya watu.big up

cally said...

dear nuru hatulingani kimalezi, hao watu wapo na wataendelea kuwepo. roho zisizopenda maendeleo ya watu wengine, mara nyingi ndo zinazodumu. so just ignore them na tusonge mbele. ukiona wanatuma msg zisizo na maadili tia kwenye dust bin..tutafika tu<3<3

Unknown said...

I really love it. wape wape wape.
Nuru u are the best!!
let them talk and talk but we keep on killing baby.
hahahahaha aliyevimba mwambie aseme NA SAFURA ZAKE asijetupasukia hapa hatutaki UCHAFU.

Anonymous said...

hi nuru!
yaaani umenifurahisha sana leo wape ukweli hao watu maana haaaaaaa tutakua watu wa aina gani sisi kutopenda maendeleo ya watu?na kuishia umbea?kama mtu kakuzidi kakuzidi tuuuuuuu mpe sifa yake sio kukaa chini na kuumia roho,nuru hongera kwa kuwa na blog nzuri usiruhusu kikawa kijiwe cha wambea maana utaiharibu kama wengine wafanyavyo kutwa majungu na kujisifia sifa wacha upewe na si ujipe. Tumechoka tunataka habari za maaaaaana.

Anonymous said...

I like...well said.

Anonymous said...

Hao hawana dawa Nuru.
wameshapitwa na wakati.

Bazizane.

Anonymous said...

pole mamii,watu awafanani,na co kila mtu atakupenda hta ukifanya mazuri,some pipo wameumbwa na chuki ziczo hta na reason,just shit them n go ahead wit ur staff,mm i always lov u..ur the right mamii as ur nic name.

Anonymous said...

U know Nuru watu walitaka kuanzisha maumbea kama blog zingine comment za kumsagia mtu ndio wanaweka wanaona yes blog inawatu ila sio fair kabisa kwa watu unaoweka picha zao. Kam za Devota sherehe yake watu wanataka kuchonga mdomo tu kuleta maugomvi na hawajapata kuziona picha nyingi zaidi ya humu ndio wanaona yes hapahapa tusagie, na wewe umewaweza. Mwenzao anaolewa hawana jinsi wabongo bana hawatafika kokote wanatafuta kila siku vijiumbea hii sio life kabisa.

Bianca said...

kwakeli its a shame,Nuru wala usifikiri watu hawatembelei blog yako wanatembelea sana na tunaipenda sana kwa kweli,hiyo blog iliyopost kuhusu comment za diva mimi nimeitembelea kwa kweli huyo host anaonyesha low self esteem na comments nyingi anaziandika mwenyewe sisi tunalijua hilo.mimi simjui Diva lakni nimeshamzimia tayari,watu wanataka waonenake wazungu lakni hawawezi kuutoa uswahili ndani yake.I just love you girl,,,,,,,,,,KAZI NZURI UNAFANYA.

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

dont listen to haters luv n bealive me u dont really hav 2 b born in europe kuwa mstaarabu mademu n some of wanaume wa bongo wamezidi cha kufanya luv fanya mambo yako kwa sana bealiv me kinawachoma kwa sana comment zao ni only way ya kupunguza machungu,wanachonga sana juu ya yakoeeeeeeeeeeeeeee wapotezeeeeeeeeeee mbaya

luv ya diva ur simply the best

Anonymous said...

Education na malezi kitu muhimu saaana. Sio kwenda shule tu kujionyesha lakini hakikisha you get something out of it. Usipotumia wakati vizuri dunia ndio inakufunza kila mtu anakuona kituko. Life is full of joy as long as you mind your own business. Just live it!! When you die uichae dunia a little better zaidi ya ulivyoikuta nasio majungu and hate day and night.Mbona kunavitu vingi sana vya kuelimishana especially for African women zaidi ya majungu? what happen to our values????
Sis F

DARCITY said...

KEEP UP THE GOOD WORK U R MA INSPIRATION!!!!!!!IGNORE THE HATERS BRING THEM TO ME PLEAZE!!!!
I NEED THE DRAMA!!!!

Anonymous said...

Nuru sweety good work, we love u,ukiwa na blog lazima uwe professional na blog yako, kama unataka blog yako iwe kijiwe cha umbea it will kama unataka tuelemike tutaelemika so what am trying to tell u make ur blog a professional blog love, sio kijiwe cha umbea,other thing i would like to share with u is kama mtu anatukana why accepting his or her comment futa ur the one ambae unauwezo waku accept n delet its ur blog ukianza ku accept matusi then kila mtu atatuma lake ilimradi aonekane yeye ndo yeye na wewe ur ok with it ,na sisi watoa comments kama tutakua tunafata umbea sio maendeleo hatutaendelea n our country haitaendelea kwa umbea.

me mpenda maendeleo peace n love

Anonymous said...

i check your blog on a daily bases, and I have learned so much about Tz,....... but hate is hate no matter what language you spell it! ppl hate everywhere but you gotta have mad hate to come to the point where they throw it in ya face! obviously we can´t generalize,.. but this person doesnt have a job really, lol...

and you lady can´t get much stronger..!! keep up the good work..!!
muacks

Anonymous said...

Hello
My dear hata profesa jay alisema ili ufanikiwe unahitaji marafiki na ili ufanikiwe zaidi unahitaji maadui,kwani hata yesu nae alikuwa na maadui lakini alivumilia hadi mauti kwa upendo wake kwetu.
So my dear mimi napekura sana blog yako kupata habari za nyumbani na sijawahi kuona kitu kibaya kwako duniani huwezi pendwa na watu wote ila hili blog ni la kwako una uhuru wa kumuweka mtu yoyote au kutoweka kitu,wenye chuki ni wengi lakini my dear usijali pls go ahead girl, give a shiiiit to wat people have to say,we love u we realy do.go on bby, huna skendo and be good always.tcare
flora