Devota sina la kusema ila umependeza sana tena sana ata wakisemaje wewe ni namba moja tu.Mana hamna nguo inatoka dukani moja na kila mtu anaiga fashion wanawake tupendane.na siku ya harusi ni siku special sana.Kila la kheri Diva
vyombo vya habari vipo kuelimisha sio kubomoa au kuchochea ugomvi hongera dada all the best n God be with you, Devota ndoa njema and wacha yasemwe mengi ila just stay cool coz ukijibu utawekwa kwenye kundi hilo la wasio wastaarabu ,u got exposure so hopely u gat me all the best
Umependeza sana Devota usijali maneno ya watu wapoteze, unayohaki ya kuvaa chochote utakacho wala mtu asikubughudhi. Nuru safi sana daima usiruhusu mijadala ya uchonganishi huku kwani kuwa na comment 2000 ambazo zinatukana watu haina maana blogu yako ndo nzuri ila inadhihirisha jinsi gani hakuna maadili ndani yake. God bless u.
hongera mwaya umependeza sana ur so beautiful ndiomana wivu mwingi sikua nakujua kwakweli niliona maoni kwenye Blog flani D sasa nikawanaham sana kumjua huyo D ur really cute acha wachonge wanawake hatupendani sijui kwanini
9 comments:
wow!! so cute, nimependa gauni lake.
Umependeza mrembo. Gauni lipo bomba ndio maana watu wanaona wivu.
very class, i love the dress, u look raelly gitly
beautifully, this girl has nice figure ndo mana mizozo imezidi.
Devota sina la kusema ila umependeza sana tena sana ata wakisemaje wewe ni namba moja tu.Mana hamna nguo inatoka dukani moja na kila mtu anaiga fashion wanawake tupendane.na siku ya harusi ni siku special sana.Kila la kheri Diva
vyombo vya habari vipo kuelimisha sio kubomoa au kuchochea ugomvi hongera dada all the best n God be with you, Devota ndoa njema and wacha yasemwe mengi ila just stay cool coz ukijibu utawekwa kwenye kundi hilo la wasio wastaarabu ,u got exposure so hopely u gat me
all the best
Umependeza sana Devota usijali maneno ya watu wapoteze, unayohaki ya kuvaa chochote utakacho wala mtu asikubughudhi. Nuru safi sana daima usiruhusu mijadala ya uchonganishi huku kwani kuwa na comment 2000 ambazo zinatukana watu haina maana blogu yako ndo nzuri ila inadhihirisha jinsi gani hakuna maadili ndani yake. God bless u.
MY OLD SCHOOL MATE, BABY GAL U KILLED IT BIG TIME, WAACHA WAZOZE WEWE SONGA MBELE, HATERS MAKE HER FAMOUS,
Umependeza sana deveotha. Naomba niulize huyu devotha ni yule devothe feruzi? aliyesoma makongo?
Mm

Post a Comment