Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka
Showing posts with label Seth Katende afariki dunia. Show all posts
Showing posts with label Seth Katende afariki dunia. Show all posts

Sunday, July 9, 2017

SETH A.K.A BIKIRA WA KISUKUMA HATUNAYE TENA,RIP BUDDY!!!

Nilivyokuwa Bongo nilimuona mara kadhaa na kila nikimuona Nuru siku hizi huniambii uko mjini mtu wangu basi nacheka ananiambia usicheke niko serious dah kweli duniani tunapita tu.
Katika kuchangia huyu kaka kupata jina nimo kabisa na nilifurahi alipokuwa amefika kuwa redioni na with time angefika mbali zaidi.
Umeacha mtoto atakukumbuka sana May you rest in peace Seth Katende.