Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, July 9, 2017

SETH A.K.A BIKIRA WA KISUKUMA HATUNAYE TENA,RIP BUDDY!!!

Nilivyokuwa Bongo nilimuona mara kadhaa na kila nikimuona Nuru siku hizi huniambii uko mjini mtu wangu basi nacheka ananiambia usicheke niko serious dah kweli duniani tunapita tu.
Katika kuchangia huyu kaka kupata jina nimo kabisa na nilifurahi alipokuwa amefika kuwa redioni na with time angefika mbali zaidi.
Umeacha mtoto atakukumbuka sana May you rest in peace Seth Katende.

7 comments:

comfort said...

Jamani!RIP SETH

Anonymous said...

Imekuwaje? Yaani nimeshtuka sana May he RIP...CinTea

sosoano said...

jamani Seth aiseeee chozi limenitoka kahhh!!!!
eehhhh uwwwiiiii kweli tunapita
R I P Seth,

Anonymous said...

Ameniuma huyu kaka jamani
sijawahi kumuona lakini nilikuwa namfuatilia sana
RIP Seth
Dah.....

Anonymous said...

Shocked, tangulia baba my prayers are with you.

Irene said...

when you see young poeple wanaolelekea kwenye mafanikio wanakufa huwa inakatisha sana tamaaa only God knows

anonymus said...

Inna lilah wainna ilayh rajiuun!mwamini