Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka
Showing posts with label NURUTHELIGHT. Show all posts
Showing posts with label NURUTHELIGHT. Show all posts

Monday, July 6, 2020

A NEW CHAPTER,A NEW JOURNEY SO SEE YOU THERE!!

MY NEW BLOG WILL BE FOUND AT  WWW.NURUTHELIGHT.COM
NAPATIKANA WWW.NURUTHELIGHT.COM,KARIBUNI SANA!
www.nuruthelight.com

Saturday, May 13, 2017

EN ROS I ÖKNEN,DESERT ROSE!!!





Next Week,New Images and New Visuals plus stories to tel!

Monday, July 4, 2016

MY SUNDAY INSHORT AND MR MISTER WE REALLY MISSED YOU TODAY!!!








MAPISHI TIME#MYCUISINE#TILAPIA#SATO!!
Since skutaka kumkaanga kuavoid mafuta nilimuweka Sato kwenye Oven for like 40min
Then huku pembeni natengeneza rosti with nyanya,vitunguu, kitunguu swaumu na tumeric na ndimu kwa mbali then nikimtoa samaki kwenye Oven namuweka kwenye sahani na kumwagia rosti la mchuzi juu yake sometimes wa nazi lakini jana no nazi,,
 UKIMKAANGA HUTOKEA HIVI,,



MY NIGHT ENDED BY WATCHING THE GAME BETWEEN ICELAND AND FRANCE,,
JANA KWA MARA YA KWANZA I WAS SAD YAANI NAWAPENDA ICELAND KUPITILIZA MAELEZO,,Damn homIE Sitizami tenaaaaa labda my Ronaldo!
WALIKUWA A TEAM AMBAYO HAKUNA MTU ALIDHANI WATAFIKA WALIPOFIKA NA JANA THE FIRST HALF WALICHEZA KWA UWOGA SANA LAKIN BAADAE MEEN MY UNDERDOG REALLY SHOWED Us WHY THEY GOT THAT FAR,,
ICELAND WAMENIFUNZA KITU WHEN YOU PLAY AS A TEAM AS A UNIT YOU WILL SUCCÉED LAKINI YOU ALL HAVE TO WANT THE SAME THING NA MSIWE NA ROHO YA KWANINI TOWARDS YOUR FELLOW TEAM MATE, ,
KWA MIMI NA HATA ULIMWENGU ICELAND ARE THE ReAL WINNERS OF THIS TOURNAMENT YAANI NI WASHINDI TOSHA KABISA KWENYE HAYA MASHINDANO YAANI NCHI YA WATU MILLION MOJA NA 10% YA HAWA WATU WAMESAFIRI NA KUJITOLEA KWENDA KUISSAPORT NCHI YAO NA WACHEZAJI WAKE HUO NDIO A TRUE DEFINITION YA UZALENDO,I LOVE YOU ICELAND BUT MOST IMPORTANTLY I SALUTE YOU ESPECIALLY YOUR COACH WHO ALIFUKUZWA KAZI SWEDEN LAKIN AKAJA KWENU NA KUITENGENEZA TIMU MARIDADI KABISA,Nimemaliza.com!!

Friday, May 13, 2016

ELIMINATE THE ENEMY OF PROGRESS IN YOUR LIFE SO YOU CAN BE THE LIONESS ON THE RISE ABOVE AND BEYOND LIMITS!!!






AT THE LIGHT WAKITIZAMA MPIRA HAHAH ILIBIDI NIKAE NJE MAPAKA ULIVYOISHA TUKAFUNGA AISEE MASHABIKI WA MAN U BONGO SI MCHEZO,,
HAD TO SIT THIS ONE OUT,,MEN SHOUTING IN THE NAME OF A FOOTBALL GAME!!
WAS OUTSIDE CHILLING WITH MY MASAI,,


 WITH GODFREY MBOWE THANK YOU FOR CALLING ME MSHAMBAAA HAHAHAHA OUR INSIDE JOKE,,
WITH LA FAMILIA,,

Wednesday, March 30, 2016

HATA UKIPATA, UKIKOSA SEMA AHSANTE KWANI YEYE NI MUNGU#GODWIN!!!








 WITH MOMMY DEAREST

MIMI NAAMINI KABISA KUWA KWENYE MAISHA KAMA HAUMTAKII MTU MABAYA ILA HUYO MTU HANA NIA NJEMA NAWEWE BASI MUNGU HUCHUKUA NAFASI NA KUWA MKOMBOZI MKUBWA KWANI MUNGU HUWA HAMTUPI MWANAE ESPECIALLY KWENYE KUTETEA HAKI NA UKWELI,,
NIMESHAONA MIFANO HAI NA KITU AMBACHO KIMEKUWA KIKINISUNBUA SANA UKUBWANI NI KUMUELEWA MWANADAMU ANAYEDIRIKI KUMTAKIA AU KUMDIRIA MAMBO MABAYA BINAADAM MWENZAKO AMBAYE HATA CHEMBE YA MABAYA HAUMTAKII HII ILIKUWA IKINIPA WAKTI MGUMU SANA ILA KADRI NAVYOZIDI KUKUWA NAONA KABISA KUWA HUWEZI KUPIGANA NA NATURE YA MTU,,
KAMA MTU NI MUONGO THEN NI MUONGO TU NO MATTER WHAT
KAMA MTU NI OPPORTUNIST AND MBINAFSI THEN THATS WHAT YOU GET
NA KAMA MTU HARIDHIKI NA KUJUA ANATAKA NINI MAISHANI MWAKE BASI KAA UKIJUA HATA APEWE NINI HATORIDHIKA KAMWE,,
KUNA CHARACTER ZA WATU HUJA NA AGENDA ZAO NA WAKIMALIZA YAO THEY MOVE ON TO THE NEXT BILA WASIWASI KWANI HIYO NDIO HULKA YAO
WHEN YOU MEET THESE INDIVIDUALS RUN AS FAST AS YOU CAN,KIMBIA!
KUMBUKA KUWA HAKUNA MTU ALIYEKAMILIKA BUT JARIBU KUZUNGUKWA NA WATU AMBAO KWANZA THEY GOT YOUR BACK NO MATTER WHAT NA CHA MSINGI KUWA NA WATU WATAKAOSIMAMA NA WEWE HATA PALE WEWE UTAKAPOKOSA NGUVU YA KUSIMAMA IMARA KWANI MAISHA HUWA HAYAJIRUDII SO MAKE THE MOST IF IT WAKATI BADO UNAWEZA,MUACHENI MUNGU AITWE MUNGU KWANI ANA KAZI KUBWA SANA NA VIUMBE HIVI VIITWAVYO MWANADAMU,NIMEMALIZA.COM!!