MAPISHI TIME#MYCUISINE#TILAPIA#SATO!!
Since skutaka kumkaanga kuavoid mafuta nilimuweka Sato kwenye Oven for like 40min
Then huku pembeni natengeneza rosti with nyanya,vitunguu, kitunguu swaumu na tumeric na ndimu kwa mbali then nikimtoa samaki kwenye Oven namuweka kwenye sahani na kumwagia rosti la mchuzi juu yake sometimes wa nazi lakini jana no nazi,,
UKIMKAANGA HUTOKEA HIVI,,MY NIGHT ENDED BY WATCHING THE GAME BETWEEN ICELAND AND FRANCE,,
JANA KWA MARA YA KWANZA I WAS SAD YAANI NAWAPENDA ICELAND KUPITILIZA MAELEZO,,Damn homIE Sitizami tenaaaaa labda my Ronaldo!
WALIKUWA A TEAM AMBAYO HAKUNA MTU ALIDHANI WATAFIKA WALIPOFIKA NA JANA THE FIRST HALF WALICHEZA KWA UWOGA SANA LAKIN BAADAE MEEN MY UNDERDOG REALLY SHOWED Us WHY THEY GOT THAT FAR,,
ICELAND WAMENIFUNZA KITU WHEN YOU PLAY AS A TEAM AS A UNIT YOU WILL SUCCÉED LAKINI YOU ALL HAVE TO WANT THE SAME THING NA MSIWE NA ROHO YA KWANINI TOWARDS YOUR FELLOW TEAM MATE, ,
KWA MIMI NA HATA ULIMWENGU ICELAND ARE THE ReAL WINNERS OF THIS TOURNAMENT YAANI NI WASHINDI TOSHA KABISA KWENYE HAYA MASHINDANO YAANI NCHI YA WATU MILLION MOJA NA 10% YA HAWA WATU WAMESAFIRI NA KUJITOLEA KWENDA KUISSAPORT NCHI YAO NA WACHEZAJI WAKE HUO NDIO A TRUE DEFINITION YA UZALENDO,I LOVE YOU ICELAND BUT MOST IMPORTANTLY I SALUTE YOU ESPECIALLY YOUR COACH WHO ALIFUKUZWA KAZI SWEDEN LAKIN AKAJA KWENU NA KUITENGENEZA TIMU MARIDADI KABISA,Nimemaliza.com!!
No comments:
Post a Comment