SHISHI BBY TATTOO FOR HIS BABY.COM
Ni zaidi ya mpenz huyu mwanamke ,ni jembe langu ,muongozo wangu ,mtani wangu na kila sifa nzur anastahili katotoo kangu,chochote nkimfanyia nafanya kwa mapenzi,na yeye akifanya chochote kwangu anafanya kwa mapenzi.mnaosema huyu kipenZ changu ni jimama mnapoteza time,na mnaosema mm ni serengeti boy kwa huyu kipenZ changu mnafail,ila ni mapenzi tu yanaongea. Na kama jimama anatambulishwag nyumbani basi saaawa. Kilichonipeleka kwake ni mapenzi tu na yeye mapenzi yamemleta kwangu pia.