Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, July 3, 2017

Yaliyojiri!!!
4 comments:

Cute Olive said...

HAHAAH RAY KIGOSI haya baba tumekuelewa

sosoano said...

hahahhahah!!!! eti yuko kama mkokoteni wa kubebea kambale jmn jmn watu wana maneno sana
hahahh!!! Ray unataka kutuambia hata vaseline hujipaki au hata ya nazi MINARA au PARACHUTE? hahahha!!! huu ndio uongo kuufanya kuwa ukweli
aseme tu na mafuta anayotumia
wamependeza Ridhiwani na Mkewe,
mmhhhh!!! mengine no comments mana siyajui undani wake

kwa hekima ya leo:
kuna umri ukifika hutakiwi kufanya mambo ya ajabuajabu ambayo yatakupelekea kuwekwa ndani,

Irene said...

Ha Ha ya Ray kiboko haswaaa

anonymus said...

Nami naanza mazoezi leo kisha nashushia maji..!mwamini