Videos ni nyingi mno just go to Youtube and Enjoy..
Harusi Ya Profesa Jay ni ishara tosha Ya kuona ja kujua jinsi alivyo mpaka Leo hii na anavyojua kuishi na watu...
Miaka 13 pamoja I wish you both 90moreeee!!
aiseee harusi ilikuwa bomba balaaaa walipendeza maharusi na wageni wote Dai kafurahisha watu kweli kweli Hongereni maharusi na Mungu awalindie ndoa yenu
3 comments:
aiseee harusi ilikuwa bomba balaaaa
walipendeza maharusi na wageni wote
Dai kafurahisha watu kweli kweli
Hongereni maharusi na Mungu awalindie ndoa yenu
Hongera sana Jay wa mitulinga Mungu awajalie maisha mema na ndoa yenu idumu
thats nice wamependeaza saaana mbaka natamani olewa tena
Post a Comment