Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, July 12, 2017

SETH KATENDE MAY YOU REST IN ETERNAL PEACE!!!

Nimependa na Nimefurahi jinsi familia ilivyoulinda mwili wa marehemu mpaka dakika za mwisho hususan pale leaders maana najua kuna mijitu ingetoa masimu yao na kuipiga Picha maiti...
Efm na Familia mmempa Seth Safari nzuri sana ya mwisho and I wish angeamka hata dakika tu aone alivyoagwa.
Vyombo vya habari Pia mmempa mwanahabari mwenzenu coverage nzuri sana.
Duniani tujitizame tunaishi vipi na watu kwani siku tutayofunga kauli that Will also be a testimony of Who we were on earth.
Seth alikuwa akisuffer in silence kwani pafu lake moja AT Times lilikuwa halifunction kabisa kitu kilikuwa kikimpa ugumu sana kuhema.
Pumzika salama Mjomba wangu Seth Katende a.k.a Bikira Wa Kisukuma!

2 comments:

Irene said...

hadi leo sijaelewa bado kuhusu huu msiba kha its so painful

Irene said...

its nice wamefanikiwa kuficha mwili wa marehemu all the time maaana kuna watu huwa sio wazima kwa kupiga picha kwenye jeneza