Baada ya wewe kufariki ndio nimekuja kujua kuwa wewe ni ndugu yangu kabisa tenta MJOMBA wangu upande wa mamma na mda wote naongea na wewe,nakusupport,nakutia moyo na kufurahia maendeleo yako little did I know mpaka umetutoka ndio mama ananiambia aisee nilikuwa nimeumia ila nimeumia mara milioni zaidi kujua hili wakati haupo.Nimefurahi kuona kuwa umegusa wengi na kesho pia utazikwa na wengi amakweli ulikuwa mtu wa watu.
I love you na Upumzike salama kwani you left US too soon but your legacy lives On.
3 comments:
aiseee Seth ameniuma japo sikuwahi kuonana nae live
Rest In Peace rafiki wa wengi
Mungu awape faraja familia yote ya Mzee Katende na team nzima ya Efm
#SethKatende
Pole sana Nuru, apumzike kwa amani Seth. Winnie
bado natafakari hili swala jamani he died so young
Post a Comment