Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, July 12, 2017

I WAS MADE FOR LOVING YOU MI FAMILIA!!!Munguuuu Nishanenepa Gadeeem.,
 Soon he will be showcasing his VLOGS on his youtube channel,,we are on a movement people!!
 Soon atafungua channel Yake ya Youtube showcasing his VLOGS.,Tuko na Movement!!


OYAA THE CAMERA IS READY,LETS GOOO!!
 MJ AND ELI.., Tuliingia disco saa tisa usiku hahahahah only in the Cruise..., WOYOOOOOOOOO MERCYQUEEN..,
 WOZAAAAAAAA..,


 Wangu mwenyewe Nimemlea Eli wanguuu.,Älskar Dig!!

Yanni hapa Eli anamuiga Mikey Mike kucheza nilichekajeee ahahah!! ESPAAAAAAAAAACITOOOOOO!!!


 MJOMBA TORRES SI WA KISPOTI SPOTI,ALILALA TUKAMUAMSHAAA AKALIAMSHA DUDE HAHAHAHAH!!!

 He had his bachelors party and is getting married in three weeks..,
alikuwa kwa cruise na marafiki zake wakimfanyia bachelors party anaowa baada ya wiki tatu..,


THAT!S ALL FOLKS!!!

6 comments:

sosoano said...

my MJ kwanza au wengine laterrrrr
da nuu msalimieeee my MJ, daahhh!!! natamani ningekuwepo

nafurahi sana kuona ndg wakikaa pamoja kwa upendo
hongereni tena na tena na tena kwa umoja wenu
party ilipendeza, hahhaha!!! eti kaka Torres alilala, hapana chezea disko
wote mlipendeza
and last wasalimie wote wote wote

Anonymous said...

Duh!!!! Am I living or existing? Please help me to understand. Hongereni sana mna raha sana. WInnie

Anonymous said...

ellii wanguuu jamaniii dah

Cute Olive said...

umependeza sana ni kuparty mpaka kucheeee

Irene said...

beautiful in love with the pant you look amazing

NURU THE LIGHT said...

Hhahahaah diamini Soso unanikana aaaah...
Winnie hahahahah stakiiiii niacheee
thank u Irene,Cute..