Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, July 4, 2017

JACQUELINE X REHEMA!!!

My Cherie I am so proud of you...Huwa hukati moyo na mpiganaji!
Nakumbuka mara ya kwanza kummeet Ray C was AT Rose Garden tulikuwa wasichana kama sita hivi tofauti tumekaa meza moja.
As The hours went  wengine wakaanza kulewa kukaja tokea ugomvi between two women so Alichokifanya Ray C alinishika mkono nakuniambia lets go.
Hakutaka kabisa niingizwe au Nuimie maana mmoja wa hao madada alikuwa kabisa anamprovoke Ray c ila Ray alimzaba kimoja tuu na  tukasepa.
Mind you this is my first time meeting her wakati huo yuko na Mwisho na ana mali nyingi tu anyway Mwisho wa siku niliendeshwa home na nikaja muona tena Sweden alivyokuja kufanya show tukakumbuka ile incident na kucheka.
Kunna watu Ustaa gets The best of them na magroup but all in all She is doing well now and lets hope ataendelea kuwa njia hii hii.
Hzb tv,Eatv

3 comments:

sosoano said...

nimempenda Ray c ameongoea vzr na anajua kufanya intaview
May God bless her mo and mo

Cute Olive said...

Kweli Mungu aendelee kumpigania Ray C

Irene said...

this girl ni mzuri haswaa Mungu amlinde asirudie alipotoka mana hili janga ni letu soteee