Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, July 4, 2017

BRAVO MAMA BIGGIE YOU SURE TAUGHT THEM A LESSON!!!


Kylie na Kendall wana brand ya nguo zao wanazouza sasa wakatoa a collection of Tshirts na picha za wasanii kama Notorious Big na Tupac.
Watu wengi hawakupendezwa na hao wawili kutumia majina ya Tupac na Biggie ila mama mzazi wa Marehemu Christopher Wallace a.k,a Biggie akachukua nafasi kuwaelimisha na kuwaambia mnachukuaje jina na sura ya mwanangu na kuiweka kwenye nguo bila hata ya kunihusisha au hata kuomba ruhusa na mtengeneze hela halafu mnasema kuwa mnataka kuwaenzi,Really!
Nimefurahi sana huyu mama kufanya hivi kwani hii familia huwaibia sana Watu especially wabunifu wakiafrika na kuweka majina yao tatizo kwavile wao wanapower na majina inakuwaga vigumu sana Watu kuwapeleka mahakamani ila kwa huyu mama kuandika tu ikawafanya waitoe stock yote madukani na online na kuomba msamaha juu maana wanajua kabisa kuwa wamekosea Nimefurahi Pia mama Biggie kamuongelea Tupac Pia kwani mama Tupac na Tupac wote hatunao tena.

3 comments:

sosoano said...

safi sana mama Biggie kwa kumsimamia mwanao
inauma sana kwa hawa wenye pesa kufanya kwa watu wanyonge

Cute Olive said...

safi sana ila nami nimefurahishwa na hao star kukubali kosa na kuwa wamejifunza

Irene said...

mh haya majanga sasa watu wanatumia umaarufu wao kuwanyanyasa wengine